The best and romantic cologne in the world must have for any man

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo Wandugu Wana-JF

Naomba nianze kwa kuheshimu Uhuru wa kila Mtu kupenda kile akipendacho.

Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Manukato ya "Issey Miyak"
Ningependa kuuliza, Je kuna aina nyingine ya Manukato ambayo inaweza ika
ipiku Issey Miyak just incase nikisema nataka sasa kubadili niweze kutumia Perfumes Nyingine.

Ni Cologne Ipi ambayo unaweza Ukanishawishi nami nikaisahau kabisa Issey Miyaki?

Please naomba Uni-recommend Cologne ya Ukweli ambayo ni Romantic same way as Issey Miyak is.

Jamaangu aliwahi kuniambia kuwa nikijaribu "Acqua DiGIO" basi nisingerudia tena kununua Issey Miyak. I did that
lakini nikaona kuwa Acqua DiGio bado imeachwa nyuma na kamwe huwezi kuilinganisha na Issey Miyaki.
Nikajaribu siku nyingine "Abacrombie & Fitch Fierce" Made in USA ambayo nayo ni GHali na hupendwa sana
Wachezaji wa Mpira wa Kikapu huko US, about $160 lakini sikupata hitaji la Moyo Wangu kama ilivyo kwa Issey Miyak.

Najua humu JF kuna Wapenzi wa hivi vitu. Please I need to hear something from you Guyz.

Thanks.
 
Embu cheki na ralph lauren pia wana aina nyingi nzuri
 
kuna topics kadhaa zilishajadiliwa hapa JF za perfume/cologne ebu pitia HII na HII.
 
Cheki spicebomb this good cologne,
 
Cheki spicebomb this good cologne,
Hii ni cologne yangu pendwa kwa muda mrefu...

Nyingine ni

1. Le Male
2. 1. Million
3. Acca Kappa ya muschio Bianco
4.Polo blue ya Ralph Lauren
5.Boss no.6 by Hugo boss
 
Iko Safari na Drakkar Noir ni cologne zimesimama sana.
 
Akuuu mie CHASTITY tangu 1997.. ila nlitumiaga BLUE FOR MEN[emoji23] [emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom