Wasalaaaam JF
“Please beb nisamehe tu nimejifunza mengi sintorudia tena beb bado nakupenda kwel, naomba turudiane tuendelee kama zamani”
Hayo hapo juu ni maneno ya ex-girl wangu aliniacha miezi 3 iliyopita baada ya kumnyima pesa aliyo niomba..
Short history yetu,
Tulisoma chuo pamoja tukamaliza pamoja na tulipendana sana chuoni life time ya chuo ilikuwa nzuri sana na alinisapot kwenye mishe nying za pesa nilimpa huduma kama girl wangu daaa nakumbuka vingi tukiwa hostel maisha ya chuo raha sana...
Baada ya kumaliza chuo nikawa nimepanga mapema tu mtaan before hata sijamaliza chuo na nilivyomaliza nikahamia kabisa, yeyee akawa anakuja tu mageton na kurud kwao tukapanga mipango mingi tukipata kazi tu tuarrange ndoa.
She is 25 age, I'm 27. Baaaas bwana nikampa CV zangu na yeye akaedit afate format tu kama mimi tuanzie mambo ya application of job. Apply weeee hola mi nikamwambia itabid kujitolea yaani volunteering then tuone itakuaje mi nikaanza kujitolea somewhere.
Yeye dada yake akamuunganisha na shirika fulan hivi la research lipo Moro .
Akaanza kazi huko analipwa poa nikamuuliza analipwa shilling ngapi kasema subiri nitakwambia, basi poa kila lakheri.
Wakaanza kusafiri mikoa tofaut tofaut kufanya huo utafit mi sikumfuatilia sana tukawa tu tanawasiliana ila sio kama zamani.
Akirud Dar hom kwao, hasemi kama karud, mara Boss kampandisha cheo kwenye group lao la research.
Akapangwa yeye aende Kenya kufanya hizo research atakutana na wengne huko siku anaondoka ndio ananipa hiyo info na akatuma tu picture yuko kwenye ndege anaenda Kenya nikasema powa ila ndio hivo
Communication inapungua sio kama zaman.
Kaenda huko akarud ila hakusema kama karud, dizain kama ananipotezea nisijue nini anafanya na hataki kabisa kunipa info yoyote kwamba anafanya nini na amefikia wapi mpaka nimlazimishe nikampigia simu Sister yake coz hata hom kwao wananifaham, nikamuuliza vip karud? Akajibu, ''ndio mbona mda tu nikasema ok.
Nikamtumia msg njoo kwangu akasema anainsue nyingi akiwa free atakuja ikapita kama week hiv kmya.
Akatuma meseji ninashida ya elfu 50, nikasema sina, mi nafanya volunteer tu ntapata wap pesa?
Akanijibu, Poa kama vip kila mtu afanye mishe zake tu hata hunihudumii, akaniblock whatsapp na blacklist kabisa.
Nikatumia friends zake, dada yake wakashindwa. She moved on dizain kama wamenigwaya wote nikaumia sana nikajikaza kiume, one month nikamsahau baaas bwana.
Pitapita zangu mitaa fulan hivi ya fire kwenye mishe zangu za busness maana volunteer time imeisha sikuajirwa nikaona nijiajiri.
Ndio kukutana na msichana ni mzur hatariii dukan nikamsalimia akaitikia fresh nikajitambulisha pale mi nipo chuon hapo sio mbali na maeneo ya chuo oooh poa.
Nikaomba namba akachomoa, nikaomba peni na karatasi dukani nikaandika namba yangu nikampa, nikamwambia ukiwafresh nitafute.
One week ikapita akanitafuta kumpigia tukafahamiana kumbe form 6 bwana hahahahahaha anamaliza pepa soon walianza tarehe 6 May.
Kamaliza pepa na gheto akaja ndio kufahamiana zaid mtoto ana asili ya Rwanda, kazaliwa Tanzania ila wazazi ni wanyarwanda walihamia Tanzania.
Kiukwel ni kazur sana mara 2 ya yule ex alafu ni under 20, kamenipenda sana na ndio nimeanza nako.
First men wake alimtoa bikra kinguvu akamgwaya mimi ndio wa pili kwa mujibu wake lakini now kimesafir yupo huko Kagera ila tunawasiliana.
Niko in love kwa Mrwanda, ndio huyo ex anarudi na swaga hizo hapo juu.
Je nimsamehe au niendelee na huyo form 6 leaver? Huyu form 6 leaver jeshi hajaenda lakini.
Note: Wanyarwanda ni wazuri sana sukari yote iko Rwanda kwa kweli.