Chinduli Jr
Member
- Nov 21, 2016
- 47
- 21
Habari zenu wadau, bila shaka kuuliza si ujinga naombeni mnijuze.
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya ndoto nyevu na mambo ya kijini(JINI MAHABA), Maana nilishawahi kusikia, ukiwa unaota hizo ndoto basi jua ya kwamba ni JINI MAHABA, na anaweza kupelekea kuvunja mahusiano.
je? kuna ukweli wowote?