Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,427
Habari za leo wapendwa,

Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu unaofanya nao kazi, unaopanda nao basi, unaokutana nao katika biashara na hata wanaokusaidia kazi nyumbani na kwingine.

Unaamka asubuhi una hasira na mke wako, unakwenda kazini bila kumuaga, saa nne unapigiwa simu, mke wako alipata ajali yuko ICU Muhimbili, unafika unamkuta na mipira, plaster kila mahali, unaanza kulia. Au ulimuelezeza mume wako una shida ya pesa, unaamka asubuhi bila hata salamu, "na ile 50,000 leo usiniambie umesahau, kama huna niambie" bila hata salamu, baba A umeamkaje, unaweza kukuta baba A alipata heart attack wakati amelala, unaamka bila salamu kumbe baba A anakoroma wewe umeshikilia upewe 50,000.

Kauli yako inapokuwa mbaya hata mke wako anashindwa kukueleza matatizo yake, na kama kuna mtu anaemsikiliza vizuri huko nje, kwanini asipewe na zawadi ya andazi. Ukifahamu mke anabanjuliwa unakuja JF unalia, mwanamke hana shukrani, nimesomesha, nilimkuta amemaliza form four sasa ana degree, unashindwa kuelewa si pesa inayoweka mahusiano, kauli ni kitu cha msingi pesa ni matokeo.

Asubuhi mnapoagana ni muhimu kutakiana siku njema, hata kama mna ugomvi wa kufa mtu na unyumba uligoma. Ile tu "mama B mimi ndiyo ninatoka" mama B anajibu "siku njema baba B", haichukui hata dakika 5.

Wale wa uzunguni wasema "have a nice day, I love you babe/honey".

Hivyo hata mmoja akipata ajali, mliagana kwa Amani.
 
Wanasema hakikisha ugomv wa leo usiwe kiporo kesho kisje kikachacha ukakitupa, maliza ugomvi na kuhakikisha umeisha omba na haki yako ya msing.
Ugomvi wa home hauishi hapo kwa hapo ucku kila mtu analala upande wake
 
Mara nyingi ugomvi wa kwenye ndoa mnauhuluhisha wenyewe na mnamalizia na tendo takatifu.

Mtasuluishaje ikiwa kila mtu ana pembe??

Lazma pembe ziumane kwanza atakekatika pembe will come to senses
 
Habari za leo wapendwa,

Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu unaofanya nao kazi, unaopanda nao basi, unaokutana nao katika biashara na hata wanaokusaidia kazi nyumbani na kwingine.

Unaamka asubuhi una hasira na mke wako, unakwenda kazini bila kumuaga, saa nne unapigiwa simu, mke wako alipata ajali yuko ICU Muhimbili, unafika unamkuta na mipira, plaster kila mahali, unaanza kulia. Au ulimuelezeza mume wako una shida ya pesa, unaamka asubuhi bila hata salamu, "na ile 50,000 leo usiniambie umesahau, kama huna niambie" bila hata salamu, baba A umeakaje, unaweza kukuta baba A alipata heart attack wakati amelala, unaamka bila salamu kumbe baba A anakoroma wewe umeshikilia upewe 50,000.

Kauli yako inapokuwa mbaya hata mke wako anashindwa kukueleza matatizo yake, na kama kuna mtu anaemsikiliza vizuri huko nje, kwanini asipewe na zawadi ya andazi. Ukifahamu mke anabanjuliwa unakuja JF unalia, mwanamke hana shukrani, nimesomesha, nilimkuta amemaliza form four sasa ana degree, unashindwa kuelewa si pesa inayoweka mahusiano, kauli ni kitu cha msingi pesa ni matokeo.

Asubuhi mnapoagana ni muhimu kutakiana siku njema, hata kama mna ugomvi wa kufa mtu na unyumba uligoma. Ile tu "mama B mimi ndiyo ninatoka" mama B anajibu "siku njema baba B", haichukui hata dakika 5.

Wale wa uzunguni wasema "have a nice day, I love you babe/honey".

Hivyo hata mmoja akipata ajali, mliagana kwa Amani.

Unakuta mke

1) ana kiburi yaani hataki umwambie kitu kama kumkosoa au kumsahihisha
2)mchafu na mvivu
3) hapendi ndugu wa Mume na anawadharau
4)ishu yoyote ana muhusisha mama yake

We unazani kuna suluhu hapo ????
 
siku zote katika maisha yako ukijua msamaha ni nini kuwezi kulala wala kutoka kwenda kazini ukiwa na kinyongo, pia wanawake tujue kuwa tunapowaacha waume zetu wanatoka kwenda kutafuta rizki wakiwa na hasira na ameondoka nyumbani hakuna amani usitegemee atashinda salama. Unapunguza rizki za mumeo kwa kuwa na viburi na vinyongo bila sababu.
 
Habari za leo wapendwa,

Kauli ni kitu cha muhimu sana katika mahusiano, si mahusiano kati ya mume na mke au na mpenzi wake tu bali kati ya mtoto na wazazi, ndungu jamaa na marafiki, hata watu unaofanya nao kazi, unaopanda nao basi, unaokutana nao katika biashara na hata wanaokusaidia kazi nyumbani na kwingine.

Unaamka asubuhi una hasira na mke wako, unakwenda kazini bila kumuaga, saa nne unapigiwa simu, mke wako alipata ajali yuko ICU Muhimbili, unafika unamkuta na mipira, plaster kila mahali, unaanza kulia. Au ulimuelezeza mume wako una shida ya pesa, unaamka asubuhi bila hata salamu, "na ile 50,000 leo usiniambie umesahau, kama huna niambie" bila hata salamu, baba A umeakaje, unaweza kukuta baba A alipata heart attack wakati amelala, unaamka bila salamu kumbe baba A anakoroma wewe umeshikilia upewe 50,000.

Kauli yako inapokuwa mbaya hata mke wako anashindwa kukueleza matatizo yake, na kama kuna mtu anaemsikiliza vizuri huko nje, kwanini asipewe na zawadi ya andazi. Ukifahamu mke anabanjuliwa unakuja JF unalia, mwanamke hana shukrani, nimesomesha, nilimkuta amemaliza form four sasa ana degree, unashindwa kuelewa si pesa inayoweka mahusiano, kauli ni kitu cha msingi pesa ni matokeo.

Asubuhi mnapoagana ni muhimu kutakiana siku njema, hata kama mna ugomvi wa kufa mtu na unyumba uligoma. Ile tu "mama B mimi ndiyo ninatoka" mama B anajibu "siku njema baba B", haichukui hata dakika 5.

Wale wa uzunguni wasema "have a nice day, I love you babe/honey".

Hivyo hata mmoja akipata ajali, mliagana kwa Amani.
Ni kweli ndugu, mahusiano yanahitaji moyo wa kusameheana na kuvumiliana! Najifunza kitu hapo
 
Uko sawa kabisa
 
Watoto wa mjini wanasema kama mbwai na iwe mbwai tu...
 
Unakuta mke

1) ana kiburi yaani hataki umwambie kitu kama kumkosoa au kumsahihisha
2)mchafu na mvivu
3) hapendi ndugu wa Mume na anawadharau
4)ishu yoyote ana muhusisha mama yake

We unazani kuna suluhu hapo ????
Unakuta mke

1) ana kiburi yaani hataki umwambie kitu kama kumkosoa au kumsahihisha
2)mchafu na mvivu
3) hapendi ndugu wa Mume na anawadharau
4)ishu yoyote ana muhusisha mama yake

We unazani kuna suluhu hapo ????
Matatizo hayo ninadhani ni muhimu yapelekwe kwa kungwi wa mke wakati wa harusi, hao waswanglishi wanamwita matron. Pia watu wanazaliwa na kulelewa katika mazingira tofauti, inawezekana kutokana na malezi aliyoyapata huyu mke hapo juu, hakujifunza usafi na uchapakazi. Uvivu na uchafu maranyingi vinakuwa comp table, kama wewe hupendi uchafu, ukiwa na nafasi safisha nyumba na umwambie mke wako hivi ndiyo unapenda iwe.
 
Back
Top Bottom