Jealousy: Kati ya mwanaume na mwanamke, yupi mwenye nayo sana

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,929
2,000
Nimekuwa kwenye arguments na marafiki zangu nikaonelea siyo mbaya nikashare na Kaka zangu, dada zangu, wakubwa kwa wadogo humu Jf jukwaa la MMU.

Debates yenyewe ni hii, kati ya mwanaume na mwanamke ni nani mwenye wivu sana kimatendo. Kwa upande wangu nionavyo, mwanaume ana wivu sana (kwa walio oa na wasio kuwa wameoa) Hii inaonyesha katika namna nyingi, mifano kutomkubalia mpenzi wake ku associate with guys, Kumfuatilia mwenendo wake physically. Mimi ni mvulana for record ila nimebase kwenye maawazo yangu, Je wewe nini unafikiria?????
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,759
2,000
wivu ni kwa wapendanao, kama mnapendana sawa kiwango chenu cha wivu pia kitakuwa sawa. shem watu8 njo utoe darasa la wivu huku,
 
Last edited by a moderator:

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Suala la wivu ni la wote hakuna aliyemzidi mwenzie na kama ni matukio mabaya yanayotokana na wivu wote wanayatenda tumesikia wanwake wakikata nyeti za wenzi wao,kumwagiwa maji ya moto kwa sababu ya wivu tu,wanaume pia tumesikia wakiwapiga risasi wenzi wao wngine wakiwacharanga mapanga na kuwanyonga wenzi wao wengine wanachoma nyumba yote hiyo ni wivu wa mapenzi hivyo hakuna wa kumzidi mwenzie cha msingi tuwe na wivu kiasi ussioleta madhara hata kama yapo yasiwe makubwa kiasi hicho
 

byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
inategemea umempenda vip mpz wako.kama unamapenzi ya kweli wivu lazima tena ule uliopitiliza.na kama uponae kusindikiza tu ukubwani wala hata haumuonei wivu...
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Inategemeana maana kila mtu ana wivu kwa mwenzie ,mim nna wivuu balaa hua najitahidi kuubalance
Kama huonewi wivu basi hupendwi mi napenda nionewe wivu ila ukizid inakuwa keroo
 

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,971
1,195
Kuna mapenzi yasiyo na wivu ukiona hajali wala hamna wivu hakupendi
 

Asamwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
2,983
2,000
Kati ya wawili wapendanao kila mmoja ana wivu kwa mwenzie; swala ni wivu wa namna gani na kwa kiwango gani.

Kuna mtu anakuwa na wivu hadi unamuathiri afya, utendaji wa kazi n.k.

Wako ambao wanafuatilia wenzi wao kila wanakokwenda na kila wanachofanya! Huu ni wivu wa kupitiliza.

Kama unamwona mwenza ana tabia au mienendo ambayo inatia mashaka ni vizuri ukamwambia, na kama anakupenda kweli atajirekebisha!
 

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,350
2,000
hahahahaa! ila sidhani kama ni somo refu kuliko umri wako.

Umri wangu na wako umepishana miezi 12 tu...hivyo piga hesabu!

Anyway hili suala la wivu kulidadavua hadi kulimaliza vipengele vyake vyote (aina, sababu, level,n.k.) ni suala la kuandikia thesis paper kabisa.

Otherwise, usijisahaulishe wewe na King'asti mlifanya wifi yenu aniache kwenye ile thread ya Mtambuzi...nna bifu na nyie (where's the tindikali shop!)
 
Last edited by a moderator:

culbby

Senior Member
Oct 24, 2013
153
0
Me nampnz wng anawivu adikero hatak nitoke kwenda popote hata kwa best zng anataka wao waje anankera bac 2.
 

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,807
2,000
Umri wangu na wako umepishana miezi 12 tu...hivyo piga hesabu!

Anyway hili suala la wivu kulidadavua hadi kulimaliza vipengele vyake vyote (aina, sababu, level,n.k.) ni suala la kuandikia thesis paper kabisa.

Otherwise, usijisahaulishe wewe na King'asti mlifanya wifi yenu aniache kwenye ile thread ya Mtambuzi...nna bifu na nyie (where's the tindikali shop!)
Mentor huchoki tu kunitaja.................
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom