Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,421
Ushoga na uteja wa madawa zote ni laana. Hamna MTU apendaye mwanawe eidha awe shoga bin choko wala awe teja.
Lakini magumu humkuta mwanadamu, lakini je kati ya hawa walaaniwa wawili ni yupi mwenye nafuu?
Lakini magumu humkuta mwanadamu, lakini je kati ya hawa walaaniwa wawili ni yupi mwenye nafuu?