Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazid Wanaume

Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazid Wanaume

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,939
Vitu 10 Ambavyo Wanawake
Wamewazidi Wanaume...!

1. Wana
Nguo Nyingi Kuliko
Wanaume.

2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi
Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na
Wakipenda Hupenda Kweli.
4.
Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa
Siku.

5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara
Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha
Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7.
Wana Uwezo Wa Kuishi Na
Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala
Biashara Yoyote.

8. Kwao Uso, Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka
Kutoka.

9. Wana Uwezo Wa Ku-
Pretend Kwa
Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye
Mapenzi.

10. Hawapendi pesa[emoji23]

Ndg zangu hiyo number 10 imekosewa .....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
11 Wanapenda kuwa na makalio makubwa.
12 Wanapenda kujipiga mkorogo.
13 Rafiki yao mkubwa tigo pesa.
14 Wanapenda kuregeza sauti wakitaka kukutapeli.
 
Back
Top Bottom