Kweli sala ina umuhimu wake

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Hello jf,

Nimeamini yatupasa kufanya sala kulingana na imani tuliyonayo. Kilichonifanya niamini hivi ni hali iliyonitokea leo asubuhi.

Ilikuwa hivi leo alfajiri mida ya saa kumi, mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda kasi sana kana kwamba moyo unataka kuchomoka hali hii imeendelea hadi kwenye mida ya saa 12 ndipo nikaamka na kuchukua karatasi ambayo nimeandika sala. Baada ya kusali hiyo sala ya asubuhi nikajikuta nipo ok kabisa hata mapigo ya moyo yakawa yanaenda kawaida.

i will keep on praying then nawashauri na wengine tukumbuke kufanya sala Mungu anatuona.
 
Sala inaumuhimu, mungu anaisikia sala ya kila aombaye kwa kudhamiria,kikubwa ni kuwa na subra mana kuna wanaojibiwa haraka na kuna wanaosubiri.

Tusiombeane mabaya hata km mtu amekuudhi,hasa kwa wanandoa.
Kweli kabisa hata anaekuombea mabaya wewe muombee mema tu.
 
kitu kidogo kama hicho unaanzisha uzi kweli upweke ni ugonjwa mbaya.
 
Back
Top Bottom