Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,604
3,753
Nimefanya utafiti huu kwa miaka saba.

Si wanawake wote ila asilimia 95 wanawake wa aina hii kwakweli sina hamu nao ni wakorofi kupindukia. Wengi wao hawashauriki na katika mahusiano, nimejikuta naachana nao bila sababu ya msingi.

Tofauti na wenye mwili na warefu huwa wanauvumilivu ule wa kibinadamu mpaka umchefue sana ndo huwa wanachukua maamuzi magumu, lakini hivi vyembamba na vifupi huwa vinanuna bila sababu ya msingi.

Nyuso zao nyingi zimekaa kihasira muda wote ninakajirani kangu hako yaani huwa nacheka mwenyewe tu kakorofi na jamaa yake huwa anakatwanga kila siku ila wapi. Halafu huwa vigumu kulia hata ukipe kibano cha namna gani.

Jembe afrika
 
Halafu huwa vigumu kulia hata uvipe kibano cha namna gani.
VERY TRUE.
OVA.
 
Back
Top Bottom