Wanaume tumezidi kwa usengenyaji

Wanaume tumezidi kwa usengenyaji

Pierer

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
76
Reaction score
43
1480353486400.jpg
 
Bora mmejijua kama hako katabia mnako
 
Aliafanya ule utafit kwanza jinsia gan?
 
Kama umezoea kulelewa unaachaje kuwa hivyo
 
Ukweli usiopingika hasa wa humu JF waongeaji hatari
 
Pumbafu zake gazeti gani hilo

nisengenye ili iweje. nimsengenye nani?

kama mtu akijishaua apite hivi
 
Huo utafiti ungesema wavulana. Wanaume hatunaga upuuzi huo.
 
kama vile kuna ka ukweli ndani yake ila sana sana huwa ni kwama jobless hata kwa wanawake pia
 
Back
Top Bottom