Inawezaje kusimama?

Ishaselo

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
255
250
Jana mida ya jioni nilikuwa nikisikiliza kipindi maarufu kinachozungumzia majanga yaliyowahi kuwapata watu katika redio E fm.

Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi kisha kulazimishwa kufanya ngono, baba kufanya na binti yake na mama kufanya na wanawe wa kiume.

Kwa maelezo yake ni kwamba walifanya hicho kitendo kwa kuhofia kuuwawa.

Swali langu ni kwamba, hivi penis inawezaje kusimama ikiwa mind-confused?
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
94,625
2,000
Jana mida ya jioni nilikuwa nikisikiliza kipindi maarufu kinachozungumzia majanga yaliyowahi kuwapata watu ktk redio E fm. Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi kisha kulazimishwa kufanya ngono, baba kufanya na binti yake na mama kufanya na wanawe wa kiume. Kwa maelezo yake ni kwamba walifanya hicho kitendo kwa kuhofia kuuwawa. Swali langu ni kwamba, hivi penis inawezaje kusimama ikiwa mind-confused?
mh!
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,560
2,000
Maybe walikuwa wanatamaniana before. Katika hali ya hofu haiwezekan kusimama. Ni sawa na wewe muda huu umuwazie mama yako au dada yako usimamishe.

Hapo naona kama kuna jambo kadanganya au basi walikuwa na huo mpango kipindi cha nyuma na hapo wakapatia sababu. Penis ina simama kwa hisia. Na ndo maana inaweza kusimama ila mtu akikuletea hofu au maudhi inalala kwa huzun
 
data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
22,694
2,000
Mleta mada unatamani kula / liwa na ndugu zako nini??
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,311
2,000
tumefikia mijadala ya aina hii as GREAT THINKERS! kwani huko ulikosikia hawakutoa hitimisho? au hii ndiyo JF new model? mjadala huu kwa upana na urefu wake utatuongezea nini katika fikra zetu!
Kama "great thinker", unatakiwa kuelewa kuwa kila mtu ana uhuru wa ku-share mawazo na mitazamo yake, long as havunji sheria. Pia wewe una uhuru wa kuanzisha au kushiriki tu kwenye mijadala yenye mawazo mapana, na kupuuzia unayodhani haina maana.

Great thinkers are the ones who built this platform(JF). Most of y'all are just mis-using the term.
 
samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,396
2,000
Hata mimi hili swali huwa najiuliza sana,inawezaje kusimama,hali ya kuwa mpo kwenye wasiwasi .....
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,300
2,000
Ukisoma japo kiduchu tu utaelewa kuwa maumbile ya kiume na ya kike yanategemea "blood rush" kwa kiwango fulani na "adrenaline" kwa kiwango fulani ili kuwa katika "sexual state".

Watafiti wa "sexuality" wanayakinisha kuwa kwenye uoga, hofu, na hata machungu ya mwili ndipo kunakuwa na maraha zaidi ya "sexuality".

Hakuna cha ajabu ni wazi kabisa hilo linawezekana.

Jisomee: The Connection Between Sexual Pain and Pleasure | The Huffington Post

Faidika na darsa la FaizaFoxy
 
Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,563
2,000
Msimuliaji alisema akiwa na familia yake walitekwa na majambazi kisha kulazimishwa kufanya ngono, baba kufanya na binti yake na mama kufanya na wanawe wa kiume.

Kwa maelezo yake ni kwamba walifanya hicho kitendo kwa kuhofia kuuwawa.

Swali langu ni kwamba, hivi penis inawezaje kusimama ikiwa mind-confused?
YAANI KTK SEKESEKE KAMA HILO, HATA KAMA UNGEKUTWA UNAPIGA GAME KWA DAME AMBAYE NI FIRST TIME KUKUTANA NAE.....WALAAHI, UKUNI UNASINYAA UTADHANI MTU KASHUSHA CHINI AERIAL YA RADIO...
 
nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,832
2,000
Ukisoma japo kiduchu tu utaelewa kuwa maumbile ya kiume na ya kike yanategemea "blood rush" kwa kiwango fulani na "adrenaline" kwa kiwango fulani ili kuwa katika "sexual state".

Watafiti wa "sexuality" wanayakinisha kuwa kwenye uoga, hofu, na hata machungu ya mwili ndipo kunakuwa na maraha zaidi ya "sexuality".

Hakuna cha ajabu ni wazi kabisa hilo linawezekana.

Jisomee: The Connection Between Sexual Pain and Pleasure | The Huffington Post

Faidika na darsa la FaizaFoxy
Faiza asante sana,,, you think BIG..........hilo linawezekana kabisa pasina shaka........
 
GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,560
2,000
hili huwezekana ikiwa kwa mhusika au wahusika kuwa ni sadism au masochism si kwa kila mtu. kuna watu ambao hu furah aina hii ya ufanyaj sex lakin katika hali ya kawaida kwanza huwezi simamisha kwa 1. mama yako ikiwa huna au hukuwa na mawazo hayo before. na ndo maana kwa waoafumaniwa au wanaopata aina flan ya uoga wakati wa kufanya sex mashine hulala. ni rahisi kumwondoa mwanaume katika moods kwa kumpa habari ambayo itamwondoa kwenye mood.

hili ni suala la kisaikolojia. so unaposema katika hofu na uchungu kunakuwa na raha zaidi. kamwambie mwanamke aliyebakwa alisikia raha gani. au kamwulize mwanaume ambaye amekutwa na mwanamke wa mtu anajisikiaje wakati huo.

kuna aina ya watu ambao hupenda kufanya mapenzi kwa style hiyo ya maumivu na hofu hawa kitaalamu wanaitwa sadist na masochist . kusimamisha uume mbele ya mama yako tayari inaonesha ulikuwa na wazo hilo before. au wewe mwanamke kuloana wakati ukiingiliwa na baba au kaka yako tayari inaonesha ulikuwa na wazo hilo. na hii ni laana kum.

hatuwezi halalisha jambo hili kwa kigezo chochote kile.
wabillah tawfiq.

Ukisoma japo kiduchu tu utaelewa kuwa maumbile ya kiume na ya kike yanategemea "blood rush" kwa kiwango fulani na "adrenaline" kwa kiwango fulani ili kuwa katika "sexual state".

Watafiti wa "sexuality" wanayakinisha kuwa kwenye uoga, hofu, na hata machungu ya mwili ndipo kunakuwa na maraha zaidi ya "sexuality".

Hakuna cha ajabu ni wazi kabisa hilo linawezekana.

Jisomee: The Connection Between Sexual Pain and Pleasure | The Huffington Post

Faidika na darsa la FaizaFoxy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom