Nikipiga tena huyu mwanamke ntakuwa nakosea?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,770
2,000
Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa

leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
 
pistmshai

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,315
2,000
Yesu alisurubiwa msalabani baada ya mateso makali yenye kubeba maumivu yaliyompelekea kufa..

Ila kabla ya kufa alisema
"baba wasamehe kwa sababu hawajui walitendalo.."

We njaa ya siku moja tu! Unataka kutoa kipigo...

Msamehe
Muache aende alipoalikwa
Akirudi mkalishe Muongee kama Watu wazima naamini ataelewa
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
15,832
2,000
Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa

leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
Kosa linaanzia kwako kutokana na hii story yako, demu anaomba hela kwa njemba lingine wewe upo wapi kumpatia, na huenda hata demu hajatenga chai kwa kuwa hujaacha hela ya matumizi, na unategemea mida hii abaki hapo nyumbani muangaliane atakula nini? Umekazana na kuandaa kipigo

think before you act
 
Nyankuzi

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
466
500
Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa

leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
Pole sana mkuu, Kweli kua uyaone.
 
Brahnman

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
1,716
2,000
Pole mkuu Gobe huyo leo watakuwa wamepanga miadi ya kukutana leo.....lkn haya yote nadhan hayakuanza leo itakuwa ashaanza siku nyingi hizi ether ukazipuuza au ukaona kawaida sasa leo naona unataka kuguruka......hapo kuna jamaa huwa anakupigia na wanataka wakutane mapema leo. Jipange!!
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
26,747
2,000
Haya mambo ya kijinga ndio minilisha yakataa aiseeee.....
Mwanamke akikukwaza hakuna haja ya kusema kwa yeyote wala hakuna haja ya kuja humu jf kulalamika.
Ebu fanya kama mimi aiseeee....
 
daudthefarmer

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,469
2,000
Herini ya sikukuu ya kuzaliwa bwana wapendwa

leo siku imeanza vibaya sana. nimeenda kanisani kurudi nyumbani hamna ata chai. cha ajabu nakuta huyu bi dada anaongea na simu huku akiomba atumie hela aliyoaidiana na mtu mmoja ambaye nimeshamtilia mashaka. sasa kuniona akastuka na kudai kunipotezea lengo. na nilivyokuwa na njaa ata hajaandaa chakula chochote. napo andaa waraka huu ata chai sijanywa. nashangaa bi dada ananiambia anatoka kwenda kwa marafiki zake amealikwa mimi hapa njaa inaniuma na nina hasira za mbogo. hivi nikipiga huyu mtu ntakuwa nimekosea maana nimesema hapa hatoki mtu ila naona ananisimamia kama jogoo...?
nahisi MUNGU amekuadhibu wee bila kujua
utaendaje kanisani unamwacha mwenzio nyumbani??
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,962
2,000
Wanaume wa mikoani mnapenda sana kupiga wanawake, sasa nenda mgahawani(restaurants) kapige msosi wako kwa wiki hii nzima. Huyo dada mpige kipigo hicho tu wiki hii yote kula nje halafu tuone kama hatonyooka mwenyewe.
 
Raskazoni

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
244
250
Wewe nenda kula restaurant lkn jamaa anakula mzigo,na ukijaribu kumtandika ndio kimenuka na kutokana na maelezo yako mwenyewe, hupindui.Aisee pole demu amekutoka huyo, period.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom