wamkodowenye
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 261
- 291
Sijui niite ni bahati au nuksi au malipo ni hapa hapa duniani au ni pepo la ngono nimekua katika wakati mgumu sana kabla sijaoa nilibahatika nikiwa na 20 years kupata mtoto nilipofikisha 25 nilioa hapa nilikaa muda mrefu sana na mke bila yeye kupata mimba mwaka wa tatu uzalendo ulinishinda nikatoka nje nikampa dem mimba akajifungua..
huyu wa ndani mpaka unaisha mwaka wa tano alikua bado kubeba mimba tukiwa tunaenda mwaka wa sita akafanikiwa kubeba mimba kiukwel nilikua na kidem nje baada ya wife kupima akakuta ana mimba ya mwezi kale Kadem nako kakawa kana mimba tena ..
Kutokana na kero za mimba home kukawa hakukaliki nilipohamishwa kikazi ikaenda tanga huko nikapata kedem tukasex akabeba tena mimba nikangangania atoe akagoma nikampotezea
nikawa na mwingine tena juzi kapima ana mimba hii kitu inaniumiza kichwa sana kwa kweli hili ni pepo au ni nn? Naanza kupata wasiwas au nihame mtandao nijiexpress your self nn?