Why is it that some people like to act like they know you "well" when they damn well know that they don't know you?
You will hear somebody say..oh I know such and such...he is this and that...I...
Hali zenu wana MMU, vp maandalizi ya pasaka? Naomba mnisaidie ni zawadi gani inafaa kumpa mchumba katika kuadhimisha birthday yake? make nshampa zawadi nyingi tu km. boxer, saa, nguo, viatu hadi...
Khabari wana MMU,
Maji ya shingo yamenifika mtoto wa khadija mie, sina amani na maisha yangu.
Mi ni binti ninayefanya kazi ya Hotel Management katika Hoteli moja maarufu hapa jijin Tanga, nina...
Nikiwa shuleni nimewahi ishiwa ada hali iliyonifanya nipige vibarua nipate ada.
Sasa hio sehemu nilikua napiga kazi (Kujenga) niliangukiwa na tofali mguuni daa niliumia sana waku, nililia kama...
BABA NIFUNDISHE KUHUSU WANAWAKE"Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe...
Salaam wana jamii;
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na "threads" nyingi zenye MSG ... NATAFUTA MCHUMBA ama NATAFUTA MUME .......
Shida yangu si hilo hitaji bali TERMS and CONDITIONS...
Niheri kuitwa mwanaume suruali kwa maana "huna hela" kuliko kuitwa mwanaume jina "huwezi mambo kitandani".
Asikwambie mtu ukiwa na uwezo mzuri kitandani unakua na heshima iliyotukuka mbele ya...
Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana...
Hi' wanajamii!
Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.
Hello Guys Heri ya mwaka mpya kwenu,naamini wengi wetu tumevuka salama kwa uweza wa mola,nami nawatakia 2017 iwe ni mwaka wa tofauti wenye baraka tele..
Habari wanajukwaa,
Naombeni msaada wa mawazo kutoka kwenu maana nimekuwa mtu ambae sina imani tena na mahusiano ya mapenzi kutokana na wakati mgumu niliopitia, mimi ni kijana mwenye miaka 23 ni...
Huyu dada aliolewa na this guy ambaye alikuwa school mate wake walikuwa vijana vijana tu.
Ndoa yao ikiwa changa walibahatika kupata mtoto, wakati huo mume huko nje anavimchepuko vyake viwili. Ile...
TIPS ZA KUFANYA MSICHANA AKUPENDE!!
.
1. Kiss her hands, forehead and nose
regularly - nimesema hands sio lips!!
Unless ni zile lips zengine...hio inakubalika.
.
2. When crying DO NOT ask her why...
Habari wana jukwaa, naomba kujua hivi wanaume ndio wababe hivi au huyu nilie nae in kimeo? Yani huyu bwana nna miezi nae mitatu tu, amekua ni mkali balaa haya nashindwa kumuelewa yani anachotaka...
Wadada wengi siku hizi wanapenda harusi sana.na mwishowe wanaishia kuzalishwa au kuzeekea makwao au kuolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao na mala nyingi wanaume waliowazidi umri ni wale...
Mwanaume mmoja(Otou) nchini Japan amefikisha miaka 20 pasipo kuzungumza na mke wake wa ndoa(Katayama Yumi) kwasababu mwanamke huyo alimuudhi.
Hali hiyo imetambuliwa na mtoto wao wa kiume Mwenye...
Heli ya mwaka wa MMU nachukua nafasi hii kuwapa hongera wana jamv wote kwa kufika mwaka 2017 na kumaliza mwaka 2016 salama.
Naimani jukwaa hili ni bora zaidi nimejifunza meng sana kupitia majamv...
Habarini wa JF.
Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher.
Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara...