princess peter
Member
- Aug 31, 2016
- 75
- 45
Hello Guys Heri ya mwaka mpya kwenu,naamini wengi wetu tumevuka salama kwa uweza wa mola,nami nawatakia 2017 iwe ni mwaka wa tofauti wenye baraka tele..
Mkuu vipi umeolewa? kama bado vipi una mtu?.uwe wazi nakuomba,maana natamani wanawake kama wewe ili tuuanze mwaka mpya na mautundu mapya au vipi?,maana hapa nilipo maji yamezidi unga,nahitaji sehemu lainiiiiiiiii ya maasali.Hello Guys Heri ya mwaka mpya kwenu,naamini wengi wetu tumevuka salama kwa uweza wa mola,nami nawatakia 2017 iwe ni mwaka wa tofauti wenye baraka tele..
Maji yakijaa unamwaga! Maisha yanaendelea!Mkuu vipi umeolewa? kama bado vipi una mtu?.uwe wazi nakuomba,maana natamani wanawake kama wewe ili tuuanze mwaka mpya na mautundu mapya au vipi?,maana hapa nilipo maji yamezidi unga,nahitaji sehemu lainiiiiiiiii ya maasali.
Kwa hiyo nimwage ugali?Maji yakijaa unamwaga! Maisha yanaendelea!
If possible...Kwa hiyo nimwage ugali?
Halafu nilale na njaa.If possible...
Mzee wa fursa....Mkuu vipi umeolewa? kama bado vipi una mtu?.uwe wazi nakuomba,maana natamani wanawake kama wewe ili tuuanze mwaka mpya na mautundu mapya au vipi?,maana hapa nilipo maji yamezidi unga,nahitaji sehemu lainiiiiiiiii ya maasali.
Mkuu,sichezi mbali hahaaaaaaa.Mzee wa fursa....
Aaaaa Mkuu kama tulivyo ongea! Maadam umemtanguliza mungu hakuna linaloshindikana chini ya jua. .Cjui kama mwaka huuuu ndoto yang itatimia kuleta posa kwa wazaz mkuu prenses
Eeeh mungu jalia