juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wadada wengi siku hizi wanapenda harusi sana.na mwishowe wanaishia kuzalishwa au kuzeekea makwao au kuolewa na wanaume ambao ni sawa na baba zao na mala nyingi wanaume waliowazidi umri ni wale walioachana na wake zao au ni wajane(wamefiwa na wake zao).sasa kama wewe mwanamke hadi leo upo na mahusiano na unaingia mwaka wa pili na jamaa hata dalili za kujulikana kwenu hana basi andika maumivu,na kama una miaka 28au zaidi na huna hata mwanaume anayeeleweka basi andika maumivu,jiandae kuolewa na mzee tu.kimsingi kama una mpenzi huu mwaka sasa basi anza kujimuvuzisha kwake we mwenyewe,leo unapeleka gauni ,kesho skin jeans mwisho unapeleka begi.na kama una mwanaume ambaye anakupeleka lodge kila mnapoonana faragha,basi ujue hapo hakuna mwanaume ,huyo hana future na anakaa kwao,achana nae na ujue hakuoi.na hayo mambo yenu ya kuchagua wanaume as if nyie ndio waoaji inabidi muache.unataka mwanaume mrefu,mweupe,mwenye gari,nyumba,na pesa na kifua kipana,kwani wewe ndio unaeoa? Inabidi muuanze mwaka kwa akili mpya,lazimisha bwana ako akuoe au jipeleke mwenyewe kabla hujaolewa na mzee.kumbuka wanaume hatuzeeki