Mwaka 2017

MAPOUDA

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
426
500
Heli ya mwaka wa MMU nachukua nafasi hii kuwapa hongera wana jamv wote kwa kufika mwaka 2017 na kumaliza mwaka 2016 salama.

Naimani jukwaa hili ni bora zaidi nimejifunza meng sana kupitia majamv mbali mbali ndani ya JF supercoach.

Na pia natoa shukran zangu za dhat kwa wote umoja wenu ndio nguvu stahk kwa wote

Naiman mke mwema anatoka popote naishukuru Jf kwa hilo.

Asanten sana wana MMU wote tuko pamoja sana katika kila jambo karibun nyumbani sote ni ndgu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom