Fundisanifu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 522
- 637
TIPS ZA KUFANYA MSICHANA AKUPENDE!!
.
1. Kiss her hands, forehead and nose
regularly - nimesema hands sio lips!!
Unless ni zile lips zengine...hio inakubalika.
.
2. When crying DO NOT ask her why she is crying, just hold her tight - na sio kumshika kama unamnyonga hadi anashindwa kupumua. Hizo nguvu peleka shambani!!!
.
3. Let her stay with your phone for 1day just to build trust- sio kuenda na phone hadi bafuni.. unaficha nini?? ama phone yako pia inaoga ??
.
4. Hold her waist from behind unaware - sasa utajua mwenyewe maana hawajuagi kudifferentiate waist na mgongo... shida yako hiyo!!
.
5. DO NOT be mean with cash! unless ni
wale madem wanashindanga wakikuomba
pesa saa yote kama wa.........
.
6. Never be too close to her friends for
whatever reason *NEVER - si una marafiki zako?? baaas...wake achana nao kabisaa... Hio ni hatari .. mwishowe utawapenda wote
.
7. Cover her with your jacket when cold- hata kama kuna baridi hadi unatetemeka hadi
makalio yanaota dimples at the same time, mpe jacket lako!! Mwanaume ni kuvumilia.
.
8. STOP sagging, you're no longer a teen!
She might not tell you but it throws her off - unaonyesha watu makalio yako au liboxer lako lichafu na lililotoboka so what?? Pandisha suruali
.
9. She will feel great if her picture is your phone or computers wallpaper - this xapplies to those with Smart Phones... kama unatumia nokia 3310 utamueka akiwa Ringtone!!!!
.
10. Take her out once in a while- sio kukaa tu nyumbani kama umepigiliwa misumari sawa mzee??
.
11. Control your female friends - hii tabia ya kuitana baby, sijui bestie, mother na son na your female friends ni upuuzi. Hata kama alikuweka Friendzone mzee dont stoop that low hadi unabandikwa majina Ya kifagio.
.
12. Finally.. try learning how to dance with her - sio mnaenda club unaanza kurukaruka kama POPCON Learn new styles.....