Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokua dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.
 
Da
Baada ya kusex na mtu kwa muda mkubwa hutokea kitu kinaitwa sex rut yaani mwenza anakosa hamu ya tendo kwa mwenzake na kujikuta anafanya kwa kukamilisha ratiba.
Inaweza kuwakumba wote au mmoja kati ya hao.

Kinachopelekea hali hii ni kukaririwa kwa ratiba na kutokea dynamic kwenye tendo au hata eneo la kusex.

Naomba niseme kua Wanandoa hawawezi kusex kila siku milele itafika muda ile spark ya kwenye sex inapotea.

Duuuuh nasubirua hio spark ipotee kwa kweli. Sio kwa kwa spidi hii ya sungura niliyonayo mimi na ze bebi.
 
Kama hamjaoana hiyo ishu kuwatokea chances ni ndogo, ila kama utakua kila siku ni ukianza kwenye sikio unashuka shingoni, kitovuni kisha chumvini halafu mnaanza show. Niamini mkuu spark itawahusu.
 
Back
Top Bottom