kinjumbi
Senior Member
- Jun 5, 2016
- 102
- 47
Khabari wana MMU,
Maji ya shingo yamenifika mtoto wa khadija mie, sina amani na maisha yangu.
Mi ni binti ninayefanya kazi ya Hotel Management katika Hoteli moja maarufu hapa jijin Tanga, nina kama miezi mitano toka nimepata kazi hapa na istoshe mpaka nimekuja kupata kazi nimegawa penzi kwa huyu baba mwenye asili ya kihindi baada ya kunisumbua sana na kunitishia anaweza kunifkuza anytime kama nitakaidi anachokitaka toka kwangu.
Sikuwa na jinsi, siku ya kwanza na doo nae nilikuwa sijachangamka na nilimpa penz la kichovu sana na ilikuwa ni kwenye gari lake aina ya kluger, siku zikapita akaniomba tena na safari hii akawa anataka mchezo mbaya nilipomkatalia alichukia sana na hakunisemesha siku 2 hadi aliponitaka tusafir hadi Dar es salam kikazi, sikuwa na jinsi ikawa hivyo.
Dar tukafikia maeneo flani ya Ilala bungoni na kunikodishia chumba katika hotel. Tulilala siku ya kwanza usiku tukaenda Posta cassino[ bar] japo sikumbuki inaitwaje na baadae kurudi huku yeye akiwa kalewa kiasi. Siku ya 2 asubh ilikuja harrier akaniambia nijitayarishe kwa safari ya kurudi Tanga na akanipa kama laki 3 na nusu matumizi, ila yeye akabaki na kunambia kuna shughuli bado anafanya kariakoo.
KWA KIFUPI; familia ya huyu baba wa kihindi hasa vijana wake ambao nawafahamu wawili, wananipigia simu na kuniambia kuwa naidhalilisha familia yao kwa mzee wao kulala na mimi mswahili hivyo lazima wanipge risasi{walikuwa seriouz}. NILIOGOPA sana.
Sina amani nataka niache kazi. na huyu baba penzi limemnogea maana alikuwa amechanganyikiwa jinsi nilivyokuwa nampa mambo adhim.
Naombeni ushauri wa kimawazo.