Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuvaa bikini ni UHUNI,,,,?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MR.LEO, Sep 19, 2012.

 1. M

  MR.LEO Senior Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi' wanajamii!
  Hivi ni kweli kwamba bikini kwa hapa bongo inaashiria uhuni au ukahaba kwa mvaaji,,,?
  Naombeni mtazamo wenu kwa hili,binafsi huwa nafurahi sana kumuona mtoto wa kike akiwa ameivaa.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,492
  Likes Received: 18,953
  Trophy Points: 280
  Uhuni ni nini?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,612
  Likes Received: 16,491
  Trophy Points: 280
  bikini hizi za bongo zinavaliwa wapi?
  kwenye madaladala?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,234
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Bado hujataja context!
  Akivaa chumbani kwako haina shida, tena yafaa sana kudumisha ndoa yenu!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,200
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Mr Leo sio uhuni... what your take on the matter?
   
 6. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 542
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi mwenyewe nazikubali sana
   
 7. Root

  Root JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 18,859
  Likes Received: 3,830
  Trophy Points: 280
  Heheh inamaana popote kazi si kama zamani
   
 8. M

  MR.LEO Senior Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The Boss U need 2 be little bit serious!
   
 9. M

  MR.LEO Senior Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AshaDii una maana gani kusema 'what your take on the matter?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,200
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Umeuliza kuwa "Eti kuvaa bikini ni uhuni?" mie nataka kujua wewe unaonaje? Ni uhuni ama sio?
   
 11. M

  MR.LEO Senior Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Context ni mwilini mdau!
  Sasa chumbani bikini ya nini tena wakati anapaswa kuvaa kanga moko?
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 14,861
  Likes Received: 5,817
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaa! Umenikumbusha lile kundi la Khanga Ndembendembe , Khanga Moko, Laki si Pesa, Milioni Deni
   
 13. b

  bizzare Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio me mwanamke wangu sijawi kuona amevaa and she totaly respected herself
   
 14. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,333
  Likes Received: 679
  Trophy Points: 280
  Ina maana watu wanakatiza mitaa ya sanamu ya Bismini na bikini?.
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hakuna vazi lolote ambalo linahusiana na uhuni,uhuni ni hulka ya mtu na mara nyingi vazi huwa linasingiziwa tu kwa kuvaliwa kimakosa.Mfano mdogo tu mtu avae bikini na kukatisha Mwananyamala Komakoma,au mwanamke akatishe mtaani katika jiji la bul bila kufunika kichwa...........
   
 16. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  Kwanza tungetambua maana ya uhuni ni nini? Kuna vitu wewe unaweza ukaona ni uhuni wakati kuna mtu anavyo na sio muhuni. Maana ya uhuni ni matter of pure opinion not matter of fact. Kila mtu ana definition yake. Mimi naona kuvaa bikini kwa mwanamke ni uhuni kama atakuwa amevaa kwa nia ambayo ni negative mfano kuvutia wanaume ila pia kama amevaa kwa lengo lake binafsi (yaani kama chup* ya kawaida) na hajamuadhiri mtu SIO UHUNI. Kuna wanawake hawavai bikini na ni wahuni kupindukia, so kujua kuwa mwanamke fulani anavaa bikini kusikufanye umuhukumu kirahisi.
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,322
  Likes Received: 959
  Trophy Points: 280
  Bikini ni nini?
   
 18. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 455
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaani afadhali hata umeuliza maana hata mimi natamani kufahamu bikini ni kitu gani?
   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 14,861
  Likes Received: 5,817
  Trophy Points: 280
  Ukijua bikini ni nini, usiache kuuliza tofauti yake na THONG na G-STRING!!!!!
   
 20. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 8,076
  Likes Received: 2,034
  Trophy Points: 280
  Hii kitu Pemba tunakiita Mbindo wa Kafiri
   
Loading...