Grena
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 657
- 1,554
Huyu dada aliolewa na this guy ambaye alikuwa school mate wake walikuwa vijana vijana tu.
Ndoa yao ikiwa changa walibahatika kupata mtoto, wakati huo mume huko nje anavimchepuko vyake viwili. Ile michepuko ilikuwa inajuana wakawa na bifu lao kumgombania yule kaka.
Bifu likawaka moto mchepuko mmoja akamvamia mwenzie na kumwagia maji ya moto yaliyochanganywa na maji ya betri! The other mchepuko uso uliharibika mbaya akalazwa hospital.
Mke akapata habari michepuko imeumizana mmoja yupo hospital. Akaenda kumwona yule aliyelazwa kufika kule akamchamba ukome kuchukua waume za watu na bado utaumia sana (biggest mistake).
Hapo kesi ilikuwa inaendelea mahakama ya mwanzo, wakawa wanamsuspect mke kwanini alienda hospital na kutoa zile kauli! Shahidi alikuwa bodaboda ambaye alimbeba yule mchepuko siku aliyokwenda kufanya tukio, akasema ni mchepuko hakimu hakuamini.
Ikapelekwa wilayani shahidi Kawe kwa Lockup wanamsuspect kwa ushahidi wa uongo. Siku ya hukumu wilayani siijui what went wrong mke akaambiwa yeye ndo aliyefanya tukio miaka 5 jela.
Michepuko sio dili jamani you never know utapatwa na lipi. Huyo kaka aliachwa na mtoto mdogo an innocent wife yuko jela.