MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Habarini wa JF.
Napenda kubadilishana uelewa juu ya dhana ya kuoa mwanamke mnayelingana nae uwezo (kikazi) mfano;daktari kwa daktari na teacher kwa teacher.
Je,kuna uhalisia wowote kuwa Mara nyingi mke anakuwa hana heshima na uthamini kwako???
Maana hiyo ni kauli niliyosikia mzazi akimwambia mwanae ambaye ni daktari ambaye ana mchumba daktari pia kuwa"Mwanangu usioe mwanamke unayelingana nae hadhi kimaisha,ni bora uoe mwalimu wa shule ya msingi"
Kibinafsi ushauri ule huwa unajirudia kichwani japo mlengwa ckuwa Mimi.
Note:Nionavyo walimu wa shule za msingi wanaweza kuwa na nafasi kubwa kuolewa kwa kuwa wao muda mwingi watakuwa krbu na familia yake!
Karibuni mnifungue macho,kwa wenye uzoefu na hilo!!