Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanaJamiiForums, Nimekuwa nikijiuliza kwanini ngono inatawala sana kwenye vichwa vya watu wengi hata stori za mapenzi zinapendwa sana na hua zinaambatana na hisia za kingono. Kuna...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Utafiti Umeonesha kwamba'' ni Ndoa tu ndio Shule ngumu sana KUFAULU kuliko shule zote, na ndio maana unapewa Cheti chake kwanza' halafu mitihani yake unaikabili baadae'' la sivyo' Ingeanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inauma,hawa ni wanandoa wanaishi nje kikazi wamekusanya pesa huyo mume akawa anamtumia kakaake awajengee nyumba. Kweli kaka akawatumia picha ya mjengo unaofanana pesa waliotuma wakaona warudi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kuwashukuru
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu yani ipo hivi patakuwa na party ya kuukaribisha mwaka 2017 kama unajua unaweza kuwepo kwa party hiyo husika PM yani! Full shangwe
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam ndugu zangu, Ndugu zangu, karne hii katika suala la mapenzi ni karne mbovu pengine kuliko hata zilizotangulia. Karne hii imeambatana na maendeleo makubwa ya teknolojia ambayo ndio hasa...
21 Reactions
440 Replies
37K Views
Habarini wanajamiiForums, Hichi kitu nimekua nikiskia Mara nyingi Leo hii hebu tuzungumze, je hii iko vipi ni marachache sana kusikia mwanaume anamnyima unyumba mkewe, lakini no normal kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifa zangu: RANGI=>maji ya kunde MIAKA=>21Years KAZI=>Miner DINI=>Musilm Sifa za anaehitajika: RANGI~Awe mweupe,maji ya kunde au softblack sio darkblack MIAKA~25kurudi nyuma KAZI~Awe mchakarikaji...
1 Reactions
0 Replies
909 Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo. Hapa niko nje ya nyumba yangu najiuliza sijui niende bar nikapunguze hasira au nikamshushie huyu mwanamke kipigo naombeni ushauri. Ilikuwa hivi...
18 Reactions
123 Replies
11K Views
Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tayari ana BOY FRIEND japo alisema hivyo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake. SASA KINACHONITATIZA. Kila...
0 Reactions
65 Replies
48K Views
Wakuu, Ki ukweli nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikiwemo kuhuzunika pale nilipoachwa. Direct to my stori, nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kazi ya ujasiriamali, ki ukweli nilimpenda...
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Yani hapa inabidi Mwenyezi Mungu mwenyewe aliye muasisi wa taasisi hii aingilie kati... Ishara zinaonesha kuwa ndoa nyingi ziko hoi, nyang'a nyang'a, taabani kabisa na zinapumulia mashine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF, Humu ndani jamani katika pita pita zangu kipindi hiki kuna sehemu nilikutana na mjadala watu wakijadili hili jambo washikaji. Hivi ni kweli kwa sisi ni sahihi kumficha...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Kati ya vitu vinavyosababisha wanaume wengi kushindwa kufikia mafanikio ni hili suala la kuhonga, bora kuwa mwanaume suruali kwa awamu hii ili kufikia malengo, wanawake wengi siku hizi hakuna...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi niwaulize wadau wa JF, Kwanini mtu unadaiwa ulipe mahari ndo uweze kuoa au kuolewa ni muhimu kwa pande zote. Nilipata bahati ya kutembea na kuishi nchi nyingi na sijaona watu wakidaiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Awe na umri 22 -30 mi ninamiaka 35. Tafadhali alitayari aje PM tuongee vizuri.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku za nyuma nilileta habari hii; Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma Hatimaye nishaujua ukweli kuhusu mpenzi wangu kuwa hajui kuandika wala kusoma, ilikuwa hivi ilikuwa siku ya jana naenda kuoga...
10 Reactions
81 Replies
9K Views
Awali ya yote nitambulishe kwenu kuwa hii kitu nimeanza nikiwa form one mwaka 2000 nikawa nimejiingiza kuipiga seriously kwa miaka 10 mfululizo, baada ya pale rate ikapungua ingawa ilikua aipiti...
32 Reactions
156 Replies
22K Views
_JE WAJUA HAYA MAMBO YANASHANGAZAA.._ .. Unatoa Makamasi Kwa Kutumia Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa Mfukoni, Ili Iweje? ...' Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha Vizuri Ganda La Nje Then...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…