mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Kati ya vitu vinavyosababisha wanaume wengi kushindwa kufikia mafanikio ni hili suala la kuhonga, bora kuwa mwanaume suruali kwa awamu hii ili kufikia malengo, wanawake wengi siku hizi hakuna anaemkataa mtu akiwa na pesa, wengi wao wafata pochi hakuna mapenzi tunaleteana ujambazi.
Bora kubaki na hamu aisee! Mwaka ukiisha kaa chini piga gharama zote kuanzia ununuzi vocha, mb, nauli, pocket, baby niazime, naomba, ninunulie simu, nguo nk yaani hizi gharama ndogo ndogo ukifanya summation utapata gharama ya kiwanja na msingi, mwaka mwingine ungejenga ukuta na kuezeka.
Jamani tutafakari na tuchukue hatua maana madhara na hasara ni kubwa sana kuliko faida, mchumba tu anakufanya kama baba yake na kwao yawezekana hawakujui, mahali bado.
MIMI KAMA NILIFANYA MIAKA YA NYUMA SAWA LAKINI 2017 SITAKI UJINGA KABISA, BORA KILA MTU ABAKI NA CHAKE.
Ahsanteni by MTAFITI