SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 910
- 742
Kuna binti nilimtongoza akanichomolea nje kwa kusema tayari ana BOY FRIEND japo alisema hivyo ila tuliendelea kuwasiliana kama kawaida coz nilikuwa na mawasiliano yake.
SASA KINACHONITATIZA.
Kila siku mimi ndie ninayeanzisha mazungumzo ya kuwasiliana, hajawai hata siku moja kuanza yeye.
Siku moja nilimpigia simu akawa hakupokea, tangu siku hiyo nilijua kuwa amenipuuzia, labda anaona najipendekeza kwake, nikaamua kama WIKI 2 kuwa kimya bila kumjulia hali.
Siku moja nikakutana nae face to face, tukasalimiana baada ya hapo akaanza kulalamika. (ETI SIKU HIZI NIMEANZA KUMCHUNIA), akaniuliza KWANINI? Nikamjibu nakuwa BUSY tu wala sijamchunia.
SWALI LANGU
Je, huyo binti ana elements za kunipenda ama?