Je, ni kweli wanawake ndo wanaongoza kuwanyima waume zao unyumba?

xaidjr

JF-Expert Member
May 29, 2016
392
468
Habarini wanajamiiForums,

Hichi kitu nimekua nikiskia Mara nyingi Leo hii hebu tuzungumze, je hii iko vipi ni marachache sana kusikia mwanaume anamnyima unyumba mkewe, lakini no normal kwa mwanaume kunyimwa unyumba tena wanasema especially wale wenye kipato cha chini na kati.

Je, kuna ukweli hapa?
 
Mm cmnyimi.... nampa hta kama dose.

Ngoja waje wanaonyima
 
Sasa mbatifautiana kidogo tu,kisasi kinaperekwa chumbani,unamnyima mwenzio haki yake!,hapo ndo chanzo cha nyumba ndogo kinapoanza.
 
Wana visa sana hawa wanawake mara akuambie tumbo lina uma. mara siku nyingine awahi kulala ili mradi fujo tupu.

mimi kuna siku kama mwezi hivi niliamua na mimi nisitoe. naenda bar naopoa mal.aya napiga nikirudi home nalala kama mfu.

siku moja aki ya nani nilikamatwa bwana navinjari aisehhh walitwangana mpaka kuvuana viatu mimi nikala kona mpaka nyumbani kilichotokea....mara ohhh narudi kwetu kwenddraa nyau yule kwanza ndo amenipa wakati mzuri wa kuopoa vizuri....

kwangu mimi uninyime chakula sio kile kitobo aisehhh ntakusa siku sio zangu
 
Back
Top Bottom