Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wanaJamiiForums,
Nimekuwa nikijiuliza kwanini ngono inatawala sana kwenye vichwa vya watu wengi hata stori za mapenzi zinapendwa sana na hua zinaambatana na hisia za kingono. Kuna kitu gani kibaolojia kinazalishwa kwenye miili yetu na kuifanya muda wote watu wapende ngono au mapenzi.
Mapenzi yanatoka wap na kwanini yanavutia sana kwenye fikra zetu kuliko hisia zingine zozote kama kuogelea, kucheza mpira, hisia za kujisomea.
Wataalamu hebu mje na sababu za kibailogia au kitheolojia kususu mapenzi kutawala fikra za wanadamu wengi na kuna wengine wanakuambia hakuna raha duniani kama kufanya mapenzi.
Inakaaje hapo wakuu.
Nawasilisha