Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Yani hapa inabidi Mwenyezi Mungu mwenyewe aliye muasisi wa taasisi hii aingilie kati...
Ishara zinaonesha kuwa ndoa nyingi ziko hoi, nyang'a nyang'a, taabani kabisa na zinapumulia mashine...
Bahati nzuri watoto ndio wamebaki kama sababu kubwa ya wengi kuwepo kwenye ndoa.
Bahati nzuri, nyege nazo ni kitu kinachowafanya watu waendelee kubaki kwenye taasisi hii ili tu kuwa na uhakika wa kipoozea.
Vinginevyo....
Embu na wewe weka hapa jinsi unavyofurahia ndoa yako au jinsi unavyokarahika na ndoa yako... Tuone kama tuna uwezekano wa kuinusuru taasisi hiii adhimu...