Daz denny
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 390
- 378
Wakuu,
Ki ukweli nimepitia changamoto katika mahusiano ila ikiwemo kuhuzunika pale nilipoachwa. Direct to my stori, nilikuwa nafanya kazi mkoa wa Dar kazi ya ujasiriamali, ki ukweli nilimpenda sana binti mmoja wa cheti akiwa chuo fulani cha fedha Dar kutokana na jinsi alivyo nilimpenda ikizingatiwa muonekana wake wa stara, nilionana mara tatu akiwa anakuja kuchukua mzigo wa mama yake, kiukweli mzuri na mimi kwa kuwa natafuta mtu wa kuoa nikamchomekea akakubali tatizo limekuwa hivi;
Msichana analeta majibu ya ajabu unaweza kumpigia simu hapokei na anaweza kukukalisha 4 hrs without reasons, mnapokuwa katika appointment kutokana na mazingira hayo. Nataka kugive up kwa kuwa msichana bora hata angekuwa na bachelors au kazi afadhali kumbe ni take and go kwa wazazi ananiletea kiburi! Namfikiria to quit her. Ushauri please.