chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,819
- 26,180
Inauma,hawa ni wanandoa wanaishi nje kikazi wamekusanya pesa huyo mume akawa anamtumia kakaake awajengee nyumba.
Kweli kaka akawatumia picha ya mjengo unaofanana pesa waliotuma wakaona warudi kula cmass &mwakampya ktk nyumba yao.
Akawapokea wakafika kwanza kwa kaka akawaandalia chakula alafu wapumzike labda kesho awapeleke.kumbe kawawekea sumu.
Walipolala ndio jumla hawakuiona hata nyumba yao.
Ahh pesa ni janga
As received through WhatsApp group!