Shukurani kwenu kwa ushauri

erickdenja

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
202
250
Napenda kuwashukuru kaka zangu na dada zangu mlioko humu JF,

Kwa mchango wenu kuna kipindi niliomba ushauri humu ndani na mlifanya vyema kunishauri nami pia nilichambua ushauri mzuri na kuufanyia kazi sasa mambo yanaenda vizuri.

Sina tena tatizo la kuwahi kumaliza tendo la ndoa kutokana na vyakula ambavyo niliambiwa nitumie na pia ikiwemo kunisisitizia kufanya mazoezi na pia kuondoa stress pale ninapokuwa na mwenza.

Kwakweli nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa pia mwili mwangu umejengeka vizuri na nguvu kutokana na mazoezi ya viungo.

Ahsanteni sana na Mungu awabariki
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom