Ushauri: Nina maumbile madogo ya uume

Mtoto mkubwa

Member
Dec 29, 2014
68
23
Amakweli Mungu hakunyimi vyote na haupi vyote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly, maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelekea kupendwa sana na wanawake.

Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.

Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.

Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah! Inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na wasichana wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.

Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..!Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO sana nilipoupima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli daaah!

Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.

Naombeni msaada
 
kitendo cha kufunguka hapa tayari ni hatua moja katika kupata suluhisho. Kwa size hiyo ya maumbile yako sio kubwa lakini haina udogo wa kushindwa kumridhisha mwanamke cha muhimu uwe mzima tu. Futa dhana kwanza ya kuwa una mapungufu maana hiyo inaondoa kujiamini kwako na itapelekea ushindwe hata kudisa.

Na kila kitu kinataka ufanye kwa utaratibu, usikurupuke kuvamia mwanamke sababu ya ngono tu, maana hapo utakutana na migube gube ya jiji. Tafuta msichana alietulia na taratibu mambo yataelekea yenyewe. Pole sana.
 
nchi 4 ikisimama pia ni nyembamba.. hata ndugh yangu wa miaka 16 kanipita ndo kinacho niumiza zaidi yan... dah
 
Mkuu hiyo mbona ni kawaIda tu jiamin bhana uume huwa maranyng unakuwa inch6 na kuendelea ww umekosa2 tafta demu ambaye hajashirk tendo la ndoa au ambaye hajalala na wanaume weng uanze nae ukifanyshe mazoez kiungo hicho misuli itastrech na inaweza kuwa fupi ila ikawa nene atarizka tu demu na show yako ikiwa ndefu itakuwa vzur magubegube achana nayo yatakuita ''Kibamia'' sikushaur utumie yale madawa ya kuongeza uume huko inst wanayatangaza...jiamin tu na fanya mazoez usinenepe jihadhar na ushoga maana wenye vibamia weng hutumbukia huko
 
Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.

Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.

Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.

Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.

Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli daaah..

Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi na pata na niipi coz naona nnakoelekea sio kabia.

Naombeni msaada naombeni


Jenga kujiamini wewee. Hata bastola inauwa (siyo riffle tuu). Issue nikujifunza kuitumia vizuri
 
Pole sana ila sio ndogo sana ,ondoa mawazo jaribu kujiamini na maisha yataendelea.HUwa hakuna dawa ya ukweli ya kuongeza urefu na unene wa uume .
 
Usiogope, JF ni kila kitu. Mimi mwenyewe nilielewa maumbile yangu vizuri katika mchango wa mdau mmoja aliyesema, kuna aina mbili za uume, moja grower na ya pili shower(kama sijakosea majina maana ni tangu mwaka 2014). Na mpaka sasa nimeshaamini, haijalishi una maumbile ya namna gani, ukitulia, Mungu atakuletea your perfect match. Na pia kama huwa inasimama, fikiria hivi, Kama Mungu angeona ni ndogo sana, kwamba hakuna atakayeendana na size yako, kwa nini angekupa nguvu za kiume? Kama huwa inasimama, jikubali na ujue, kuna siku utampata atakayelidhika na kidudu chako.
 
Pole sana ila sio ndogo sana ,ondoa mawazo jaribu kujiamini na maisha yataendelea.HUwa hakuna dawa ya ukweli ya kuongeza urefu na unene wa uume .

Mkuu embu acha kummpa matumaini hewa mwenzako. Je wajua ya kuwa an average Africa normal male of 20 yrs or above, wastani wa uume huwa ni sentimita 16( sawa na nchi 6). Sasa jamaa yeye amesema ana inchi 4(sawaa na sentimita 10) , ambao ni sawa na urefu wa uume wa kijana ambaye bado haja balehe.., halafu bado wamtia moyo mwenzako!!!
 
umenifanya na mm nipime yangu..
"big fellow" is not bad!

if you cant have what you want, help what you become!
 
Jiamini tu mkuu. Hako kadogo kanaweza kufanya maajabu km ukijua kukatumia vizuri. Ili mradi inasimama tafuta dem mshughulikie haswa! Trust me..sio kila mwanamke anapenda mtarimbo mkubwa! Jiamini huku ukiendelea kutafuta dawa.
 
Dogo bado mdogo wewe tuliza mshono ukiendelea kukua nayo itaongezeka acha papara za kuwaza ngono.
 
Back
Top Bottom