Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,829
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
 
Kuna mawili ya kuangalia hapo...kumbuka wanawake huwa hawakurupuki...
1. Mophology ya mdomo wako ipo sawa?Je inaruhusu tendo hilo kufanyika bila kumbughudhi mwenzako..
2. Je mdomo wako hautoi harufu kiasi ikawa ni kikwazo kwa mwenzako.
Ukipata majibu hayo njoo..tena uulize utapata majibu.
 
Jamani naombeni ushauri wenu hivi karibuni nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na msichana flani hivi

Cha kushangaza huyu msichana hapendi kabisa kunyonyana ndimi (denda) nimejaribu kumuuliza kwa nini
lakini hanipi jibu la kueleweka kwa kweli hali hii inanikosesha raha kabisa
hasa tukiwa kwenye mgegedo kwani mimi na enjoy sana romance (denda) kuliko sex yenyewe

mara ya kwanza nilidhani labda atakuwa hataki kudendeka kwa kuhisi labda kinywa changu kinatoa harufu ikanibidi nizidishe dozi ya kupiga mswaki lakin bado tu hataki...

Nisaidien jaman ana tatizo gani huyu mwanamke??
Mfungue mdomo kwa nguvu halafu uzamishe ulimi wako,utakupa tu ushirikiano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom