natumai wazima,
Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kumsaidia mume wangu kufika kileleni haraka. Mimi ni mjamzito wa miezi saba sasa na mume wangu huwa anachukua karibia saa nzima ndio amalize na mimi huwa najitahidi sana lakini nachoka sana.
Je, nawezaje kumsaidia afike kileleni haraka na ujauzito huu?