Kumrudia aliyekuacha Mara nne ni kosa?

krava

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
225
287
Ndg wana jf hivi kama mwanamke amaekukimbia Mara NNE na zote akarudi ukampokea je kuna kosa.

Pia kama umezaa nae mtoto na ana miaka 4 na anataka kukuletea ili awe huru je sheria inasemaje maana yuko below 7 ushauri wadau na je huko aliko atakuwa "anapigwa" kazi kwenu
 
Nijuavyo, mtoto kubaki kwa mmoja, kama mna malumbano ndo sheria itaingilia kati, lakini kama mmekubaliana, wala haina tabu
 
Chukua tu mwanao

Achana nae akapukipuyange
Huko mbele kwa mbele
 
malaya kama huyo wa kunikimbia nyumbani kisha anajirudisha taratibu nampokea namimi namtimua usiku wa manane na mtoto amwache asije tena, tampigia biti kuwa nikiona pua yake uhai wake uko mbioni kukatika
 
Mara nne anaenda na kurud kila saa moyo wako nahis unasukuma zaid ya damu.
 
Ndg wana jf hivi kama mwanamke amaekukimbia Mara NNE na zote akarudi ukampokea je kuna kosa.

Pia kama umezaa nae mtoto na ana miaka 4 na anataka kukuletea ili awe huru je sheria inasemaje maana yuko below 7 ushauri wadau na je huko aliko atakuwa "anapigwa" kazi kwenu
Sijawahi kuona mwanaume mjnga mpuuzi wa kiwango cha juu kama wewe aiseeee....
Kwani.......
Haujisikii hata aibu kwa hayo yanayo kutoka kinywani mwako....!!
Yaani amekuacha × 4 na amekua akirudi unampoke.. .
Sasa hapa unataka ushauriwe nini?
 
malaya kama huyo wa kunikimbia nyumbani kisha anajirudisha taratibu nampokea namimi namtimua usiku wa manane na mtoto amwache asije tena, tampigia biti kuwa nikiona pua yake uhai wake uko mbioni kukatika
Mkuu....
Minaona mleta uzi hayupo sawa mentally.
Yaani Mara nne zote anaenda na kisha akirudi anampokea tena...
Sasa hapa anataka tumshauri nini...!?
 
Back
Top Bottom