Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Alipoamka wakamsihi sana asipanic ili wajue ukweli. Asimwambie mke wake wala asioneshe tofauti yoyote akirudi nyumbani ili dada asihisi kitu basi baba akarudi nyumbani akampigia simu mama arudi, na mwalimu akaja na polisi dada akawekwa kati.
Hapo mtoto hajarudi shule baada ya muda mtoto anarudi baba akampakata mtoto wake. Dada akaanza kuhojiwa na kibano cha polisi akakubali ni kweli.
Huyo kaka ni teja huwa anampa 5000 na anakuja kila siku usiku wa manane anamfanya mtoto. Wazazi wakiwa wamelala haya ndio hutendeka.
Mtoto aliletwa hospitali kuchunguzwa kaharibiwa vibaya mbele na nyuma. Baada ya kumpima tukakuta ameambukizwa HIV. Kwa upande wetu tulimtibu mtoto na kumuanzishia dawa za kupunguza makali ya virusi.
Wazazi hawakua na la kufanya ishatokea wamesamehe. Jamani tusali tena tusugue magoti. Halafu tuwe marafiki na watoto wetu ili waweze kutushirikisha yanayowakuta.
Lakini wewe kama mama ni kweli unakosa muda hata wa kumuogesha mtoto wako siku moja? Labda unaweza kugundua kitu kama maumivu ukimsafisha.