Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,933
Jamani hii ishu ya u-gay imeshamiri sana duniani...
Yani saa hii hata mtu akitaja neno shoga sishtuki kama zamani....
Leo ktk pita pita zangu nikakutana na kitoto cha kiume,umri wake kama 9years hivi,kimevaa hereni masikio yote mawili jamani jamani.....
Inaumiza sana sana nikabaki tu namshangaa...
Siku hizi wakina baba hawana mda na watoto zao wa kiume kama zamani...
Zamani baba lazima aambatane na mtoto wake wa kiume,acheze nae,amfundishe mambo ya kiume...kuanzia mavazi,jinsi ya kubehave kiume na kila kitu.....
yani dume linakua dume kweli,kama baba hua anashiriki kazi za nyumbani kama kulisha mifugo au kurekebisha vitu vidogo ambavyo mama hawezi... lazima na mtoto wa kiume ashiriki..
Na ilikua inasaidia yani mtoto anakua dume dume kweli....anapiga kazi kweli kweli...anakua na ile spirit ya "nataka kufanya hivi kama baba".
Ila siku hizi wababa mmejisahau sana...
Sawa tafuten pesa ila kumbukeni na malezi ya watoto.
Sijui ndo utandwazi chaaaa...
Nawe mama mtoto wako wa kiume usimlee ki-kike kike buanaaa...
Correct me if am wrong!!!!