nimekaa nikajiuliza sana, tokea na kua hadi nimefikia umri huu nimekuwa nikikereka na tabia ya wanawake na kwa uchunguzi wangu naona wanawake wote huwa wanatabia ya kiburi lakini wengi wao huwa...
Habarini wapendwa humu!!
Kila mtu ana mfumo wake kwenye ndoa yake hasa kwenye suala zima la kipato,
Kuna style hii sijui nyie mnaionaje, yaani mi mwanaume nakuwa na kazi yangu inayoniingizia...
Wanajukwaa wenzangu nmepata majaribu mazito katika mwaka huu wa 2016. Ushauri wenu ni muhimu saana...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26...mjasiriamali na nimejiajiri katika shughuli za...
Wiki iliyopita siku ya alhamisi mchumba alitangaza kuachana na mimi (mimi ni me) kulingana na sababu aliyotoa ambayo nilieleza kwenye uzi niliouanzisha wiki iliyopita
Mimi sijaridhika nayo kwa...
Kupigwa au kupigana katika mahusiano
Katika vitu ambavyo ni vigumu sana kumshauri mtu kuvumilia kwenye ndoa ni kupigwa. Ndoa ni amani furaha na kuheshimiana, unapooa unamchukua mkubwa mwenzio awe...
Habari wana MMU,
Kuna jambo linanitatiza,Jana amekuja wifi yangu mke wa kaka na kilio nikajua amefiwa kumuliza haya kumezidi nini? Anasema anataka kuachwa amesha choka na kuona SMS kwenye simu ya...
Hi JF,
Hope mko poa.
Mara nyingi nikipost thread humu hua hazieleweki, hii ya leo nyepesi sana.Niliacha kusoma history nilivyomaliza form4, lakini napenda kusoma articles, hua najifunza vingi...
Unasafiri kikazi, wakati unapaki nguo mke wako anakupa box la condom "honey chukua hizi kama ikitokea dharura uta2mia'.
Ukalipokea kwa tabasamu na kusema: asante mke wangu kwa kunijali'...
Wasichana wasikuizi wana 'fake' tu 'orgasm' we unaona wanalia kama Ndama mtoto unajua wanafaidi kumbe wanakutia tu moyo umalize waende kuoga.
JINGA KABISA..!
sio kweli kwamba kuna mwanamke ambaye hafai kuoa au mwanaume ambaye hafai kuishi na mke maana unaweza useme mwanamke/mwanaume uliyemuacha hafai kuishi katka ndoa maana ni mkorofi na hana maana...
KANISA LAPIGA MARUFUKU NDOA WANAWAKE WALIOZAA
Kutokana na uamuzi huo, kuanzia sasa hawataruhusiwa kukaa madhabahuni na kufunga ndoa wakiwa Wamevaa Shela
Aidha, kanisa hilo ambalo ni moja ya...
Wazazi wa Alex wote wawili walikuwa kwenye ndoa zao za awali, wakiwa majirani walijikuta wamezama kwenye penzi zito, wote wawili waliamua kuacha familia zao na kuwa pamoja na walibahatika kupata...
He is a new man who I have recently been engaged with, he is a make up a make up artist. Without many words, he works with celebrities kind of Wema Sepetu, Kajala ect to name the few. Our plans...
Sijui wanawake na baadhi ya watu wanatoa wapi msingi wa kuwalaumu baba nyumba baada ya kuwatafuna beki tatu
Nimejaribu kupitia maandiko matakatifu nikaona baadhi ya watu maarufu walikula beki...
Salam ndugu zangu.
Nina rafiki yangu ambaye yeye anaishi na kufanya kazi Singida na mimi nakaa Mwanza. Hapa Mwanza yupo mke wake ambaye naye ni mfanyakazi wa benki. Kwahiyo, rafiki yangu huja...