Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Kupigwa au kupigana katika mahusiano
Katika vitu ambavyo ni vigumu sana kumshauri mtu kuvumilia kwenye ndoa ni kupigwa. Ndoa ni amani furaha na kuheshimiana, unapooa unamchukua mkubwa mwenzio awe rafiki yako mpenzi wako mfurahishane na kusaidiana sasa hivi kuna kosa gani la mkubwa mwenzio la kukufanya umpige?
Ninaposhindwa kuelewa ni kwanini umpige au mpigane?
Kwa kosa gani hasa?
Mwanamke anapigwankwa mkufu wa dhahabu na upande wa khanga ndugu.
Ila kama unayebondwa ni mwanaume wala usione haya nawe chukua hatua kukomesha unyanyasaji wa kijinsia.
Vipi ndugu yangu ulishawai pitia mikasa ya namna hii katika mahusiano yako?
Ebu tujuze ilikuaje?