Kingeke Mavoya
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 619
- 598
sio kweli kwamba kuna mwanamke ambaye hafai kuoa au mwanaume ambaye hafai kuishi na mke maana unaweza useme mwanamke/mwanaume uliyemuacha hafai kuishi katka ndoa maana ni mkorofi na hana maana lakini kuna mwanamke/mwanaume mkorofi zaidi ya huyo uliona hafai lakini yuko katika ndoa, hivyo ushauri wangu nikwamba watu wavumiliane maana ili mume na mke waishi kwa raha siku zote nilazime mmoja awe chini(mjinga) awe ni mwanamke au mwanaume ila wote mkiwa juu hamuishi nawote mkiwa chini hamuishi pia