Nimemwambia baba kazi ya mchumba wangu lakini imemfanya aumwe gafla

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,775
He is a new man who I have recently been engaged with, he is a make up a make up artist. Without many words, he works with celebrities kind of Wema Sepetu, Kajala ect to name the few. Our plans are to settle down and start a family, as per culture and customs, I have to introduce him to my family and starts making wedding plans.

My dad had to be rescued last week from what doctors call angina, while I was telling him about my soon to be fiancé, he asked me what is his name, I mentioned "Udongo", and what is Udongo doing for a living, I said "dad he is a beautician", soon after my dad started coughing, that cough, led him to a hospital admission.

Jamani ushauri hapa hii ni dalili ya nini? Ninaogopa kurudia tena topic ya Mr Udongo mbele ya baba yangu.
 
Hiyo ni dalili kuwekewa kikwazo ( tho not my wish)
Ila ukitaka kuzungumza nae tena kuhusu Udongo, tumia jina lingine tofauti na udongo na bila shaka jina au kazi yake hiyo uliyomtajia ndio tatizo.. tatizo sio kuanzisha uchumba na mtu
 
Alikuwa vizuri tu niliposema jina la Udongo lakini kazi ya bwana Udongo imeleta mtafaruku, sitaki baba apelekwe hospitali tena na ninampenda bwana Udongo.
 
Alikuwa vizuri tu niliposema jina la Udongo lakini kazi ya bwana Udongo imeleta mtafaruku, sitaki baba apelekwe hospitali tena na ninampenda bwana Udongo.
sky,
from how nimekusoma humu its like unaijua/umesoma psychology and I bet ur a doctor.kwani hujui hiyo kazi ya bwana "udongo" and the like huwa ni wanaume wa namna gani?? sitoi kashfa but wakina udongo wengi huwa si wanaume kamili wengi ni mipunga,na hapo ndipo panapompa wasiwasi mzee.any ways nisiingilie sana,mzee akizinduka we usimwambie kabisa habari za udongo.kama vipi beba kamimba kabisa kumuhakikishia mzee kuwa despite of hizi job but udongo is a real man,mtaenda sawa.sorry for any inconvenience
 
Alikuwa vizuri tu niliposema jina la Udongo lakini kazi ya bwana Udongo imeleta mtafaruku, sitaki baba apelekwe hospitali tena na ninampenda bwana Udongo.
Nakuelewa hivi sasa.
Kazi anayofanya mchumba wako ni kikwazo kwa baba yako, so ufanyaje? na bado wote unawapenda?

Simple. Tafuta jina zuri la kazi ya mchumba wako tofauti na hilo ambalo limekaa kike kike..! kisha mwambie.
Au kama shida sio jina la kazi ila ni kazi yake, basi mtazame zaidi baba yako, make sure anarecover kwanza kisha zungumza nae kiundani, maana kama ni tatizo ndio kwanza bado bichi. Hatujui mengi bado kuhusu the shock was about.
 
Hiyo Topic iishie hapo na mengine yaendelee,as long as Bwana udongo anakufurahisha Dad mpe time atazowea pole pole kukubali kazi ya mkwe...
 
sky,
from how nimekusoma humu its like unaijua/umesoma psychology and I bet ur a doctor.kwani hujui hiyo kazi ya bwana "udongo" and the like huwa ni wanaume wa namna gani?? sitoi kashfa but wakina udongo wengi huwa si wanaume kamili wengi ni mipunga,na hapo ndipo panapompa wasiwasi mzee.any ways nisiingilie sana,mzee akizinduka we usimwambie kabisa habari za udongo.kama vipi beba kamimba kabisa kumuhakikishia mzee kuwa despite of hizi job but udongo is a real man,mtaenda sawa.sorry for any inconvenience
Mkuu nimesubiri sana chereko chereko, ninataka niingie kanisani na gauni leupe lisilo na doa. Mr Udongo is a full man without any doubt, lakini kazi yake ya kupaka wakina Wema Sepetu wanja na lipstick ndiyo inamuangusha hapa.
 
Mr beautician appeared to overwhelm your Dad's imagination on his daughter future husband. The idea of your future husband in the company of semi naked actresses and gold diggers goes way far from his conventional thinking, he will get better worry not.
 
Alikuwa vizuri tu niliposema jina la Udongo lakini kazi ya bwana Udongo imeleta mtafaruku, sitaki baba apelekwe hospitali tena na ninampenda bwana Udongo.
usijali,ila ni wewe wa kuwaonyesha Mr Beautician alivyo out of his profession,watu huwa wabaya kwa kuwa hatujawa nao karibu,Binti akishapagawa huwa inasaidia sana yeye mwenyewe kua mshawishi,miaka ya leo utu wa mtu sema Mr udongo hakua mbunifu angekuja ku spend 1 night na mzee hospital
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom