Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,778
Wazazi wa Alex wote wawili walikuwa kwenye ndoa zao za awali, wakiwa majirani walijikuta wamezama kwenye penzi zito, wote wawili waliamua kuacha familia zao na kuwa pamoja na walibahatika kupata mtoto wa kiume waliempa jina Alex.
Ndugu (half brothers and sister) kutoka pande zote mbili hawakuwa na mapenzi na Alex, tabia yake ya kujibadilisha kuwa wa kike ilimfanya apoteze marafiki aliosoma nao shule ya msingi na secondary. Katika mji wao akienda night club huku amevaa nguo za kike waliomfahamu walimzomea, hii ilipelekea Alex kufungasha vitu vyake na kwenda kuanza maisha kwenye mji mkubwa.
Mwenye nyumba wetu aliitwa Trevor, kwakuwa kesi ya Alex ilikuwa chini ya social services, Trevor aliona ni fursa ya kufanya biashara moja kwa moja na serikali. Vyumba tulivyoishi sisi tulilipa shilling 60 kwa wiki lakini chumba cha Alex ambacho kilikuwa kidogo kuliko vyote alilipishwa shilingi 80, pesa ililipwa na serikali tena kwa miezi sita mbele.
Baada ya kugundua Alex ana ndimu na bamia nilisitisha urafiki, kwakweli alitaka sana kulianzisha na mimi lakini sikumpa nafasi hiyo. Kuna siku tulikuwa jikoni akaniambia "jana nilikuwa ninaangalia TV niliona watu wanakufa na njaa Afrika, kumbe ndiyo maana mnakuja huku kwetu". Nilijifanya kama sijamsikia nikaondoka.
Visa vilipokuwa vingi kutoka kwa Alex, nilikuwa ninakwenda kukaa kwa aunt siku mbili tatu, kwa kweli sikuweza kuwaeleza kuwa nilipata shost mwenye bamia, ilikuwa siri yangu. Trevor alinunua nyumba nyingine iliyokuwa mjini Zaidi ya ile tuliyoishi. Kwakua Alex hakuwa na shughuli yeyote ya kufanya walitumia muda mwingi sana katika kukarabati nyumba na kutengeneza chumba cha Alex.
Inaelekea kuna mengi yalitokea kati ya Trevor na Alex, lakini ghafla Trevor aliamua kukata, Alex alipatwa na hasira aliamua kudeal na Trevor, alikwenda kumshtaki kuwa anatuweka katika mazingira hatari, nyumba haina fire extinguisher, haina fire blanket jikoni wala haina smoke alarm, Trevor alilipishwa fine na halmashauri ya mji na kupewa wiki mbili awe amefanya marekebisho stahiki.
Hilo lilipokwisha, Alex alianza kumpigia mke wa Trevor simu akimtukana kuwa yeye hana kazi amekalia u****ya tu, anangoja ku .......... ila apate kula. Simu zilikuwa ni nyingi na wasipopokea anapiga mpaka asubuhi kunakucha.
Kuna siku nilikutana na Alex bank lakini ninadhani alikuwa amenisahau, mwanaume aliyepanda na anaepaka simple make up na mascara.