Ukitaka kuoa lazima upate mke au mume wa stail yako ukibugi tu utaichukia ndoa

joos

Member
Jan 24, 2017
35
10
Sasa apo jicheki wewe ulie oa au ambae ameolewa alafu jiulize ndo uliyetegemea mtaishi hivyo?
 
Mimi sahivi Nina 24 Age sina mpenzi wala mchumba Nina biashara yangu sio kubwa sana , Mimi ni mchaga tatizo hawa wadada wanapenda mno hela. Nimeamua kukaa hivyo kwanza.
 
Mimi sahivi Nina 24 Age sina mpenzi wala mchumba Nina biashara yangu sio kubwa sana , Mimi ni mchaga tatizo hawa wadada wanapenda mno hela. Nimeamua kukaa hivyo kwanza.
Endelea kutafuta hela kwanza meku
 
kosea njia utaelekezwa
Ila co kuoa au kuolewa
Mkuu maisha yenyewe ya sasa yakitrumptrump ndoa zimekuwa shubiri walioko wanataman watoke na ambào bado wengi hawana mpango, mostly KE ndio wakimbilia ndoa kuliko ME
 
Mkuu maisha yenyewe ya sasa yakitrumptrump ndoa zimekuwa shubiri walioko wanataman watoke na ambào bado wengi hawana mpango, mostly KE ndio wakimbilia ndoa kuliko ME
Eeeeh na,wanaitafta kwa kas ya hatar
Mkuu hyo ndoa

Wao wanafkir n rahis tu kuoa
Kama ilivorahis kukitembeza kwao
 
Ndoa aisee, ni tatizo sn. Sidhani kma kweli ulikuw ni mpango wa Mungu kututesa watu wake.

Urafiki hakuna kati ya mwanamke na mwanaume siku hz. Wanaume wengi sana wanateseka na ndoa zao. Mwanamke ukishamvalisha pete, anakuwa tofauti kbs na mwanamke yule uliyekuwa nae kabla hajavaa pete. Uzur ni kwmb wanaume hatubadiliki, kma ulinikuta kicheche na ukanikubali, tegemea the same, ila utahitaji kuniombea ili nibadilike. Na mwanamke SMART kichwani, anaweza kukubadilisha vizur tu kwa upole na upendo kbs.
 
Sasa apo jicheki we we ulie oa au ambae ameolewa alafu jiulize ndo uliyegemea mtaishi ivyo?
Cha msingi nikuomba Mwenyezi mungu akupe mwenye kheir na wewe na akupe na subra,kuna wanaume wana tafran mpaka unajiulize hivi huyu ndio yule nilompenda au naota,na kuna wanawake wanasumbua unaweza kuwafunga kamba ukawaburuta barabarani kwa hasira wanazokupa,sasa kikubwa nimueka Mwenyezi mungu mbele kwenye kila jambo lako..
 
Jambo zuri upate uolewe na mwanaume anae kusikiliza au uoe mwanamke anae kusikiliza apo ndoa itadumu sana
 
Yani kama mie nachanganyikiwa,umri umefika na sina hata mchumba.Sijui kama nitaoa.Maana jambo hili miaka hii limekuwa gumu sn.
 
Ili ndoa idumu Fanya hivi, kama we n bahili tafuta bahili, km mchawi tafuta mchawi, mlevi tafuta mlevi, mchoyo tafuta mchoyo hapa ndoa itadumu milele. Thread closed
 
Back
Top Bottom