Ukiulizwa mapenzi ni nini utajibu je?

Wana wa jukwaa amani kwenu!
Kwa upeo wako binafsi ukiulizwa mapenzi ni nini? utasemaje?
ntajibu; mapenzi ni mgawanyiko wa pande mbili , kukiwa na mapenzi ya agape kama kumpenda mzazi wako au ndugu yako ,pengine hata rafiki yako ,lakini pia kuna mapenzi ya passionate yani mapenzi yahusuyo jinsia mbili tofauti yan mwanamke ma mwanamume na yanayohusiana na tendo la ndoa.....
 
Hiyo part ya pili ndio ninayotaka kujua maana yake.
 
Mapenzi ni pesa nakujaliana
Huo ndio ukweli! Upendo hutoa japo upendo pia haudai!
Mapenzi ni kupeana raha bila kudaiana! Ke anapenda pesa na apewe pesa ila asidai pesa, Me anapenda uroda na apewe uroda ila asidai uroda! Mapenzi ni kupeana kwa hiari bila kudaiana kinguvu!
 
Kwenye mapenzi kila mtu anapata uroda, kwa hiyo siyo sawa mmoja alipie uroda.
 
Back
Top Bottom