ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,191
Hi JF,
Hope mko poa.
Mara nyingi nikipost thread humu hua hazieleweki, hii ya leo nyepesi sana.Niliacha kusoma history nilivyomaliza form4, lakini napenda kusoma articles, hua najifunza vingi sana.
1930 ujerumani ilipoteza mvuto wake kabisa, ilikua nchi dhaifu sana, uchumi ulikua umechuchumaa kabisa, maisha yalikua magumu sana.Wajerumani waliteseka sana, walisaga meno, walilia, walikata tamaa.
Great economic depression iliwagonga utosini, afya ilikua mbovu, elimu mbovu, hakuna ajira, deutschmark (pesa ya mjerumani) ikaadimika mno kilimo kilidorora nk nk.
Kipindi hicho Ujerumani ilikua inasikilizia maumivu ya versailles treaty, haya makubaliano yaliikandamiza sana ujerumani. pia miaka kama 15 iliyopita ujerumani ilikua imechapika ovyo WW1.
Serikali ilikua imepigika mno, kila kitu kilikua hakitembei, mpaka wakatungwa jina "weimer republic" yani "kitu kilichooza".
Wajerumani wote nchini walikua wanahitaji mabadiliko, walikua wanataka ukombozi wa haraka sana. Walikua wanahitaji viongozi wapya wenye kuweza kuwakomboa.
From no where aliibuka mtu aliyetokea kupendwa sana, alihubiri upendo+amani, kuanzis misikitini hadi makanisani, alihubiri ukombozi, alihubiri uchumi imara, alihubiri ajira, elimu, kilimo, afya, mpaka chakula.
Alipata umaarufu mkubwa sana, yeye na chama chake. Wajerumani walihitaji mtu wa aina hii, mtu ambae angeweza kuwavusha ktk kipindi hicho kigumu.
Huyu ndiye Aldolf Hitler ninayemfahamu.Hiki ndicho chama cha wanazi ninachokifahamu.Uchaguzi uliofuata mapinduzi makubwa yalitokea, Nazi party kilipata viti karibia 230 ulilinganisha na viti 26 walivyokua navyo awali Reichstag (bunge la Ujerumani).
Lakini bahati mbaya kura hazikutosha kumruhusu Hitler kuwang'oa Hindenburg na Papen madarakani.Wananchi walichukia sana kuona hitler hajaingia ikulu, hitler akawamobilize wajerumani waishinikize serikali imteuwe awe Chancellor, lakini serikali ikakataa, ilitaka imteuwe awe vice chancellor, Hitler hakutaka uvice.
Shinikizo likazidi kuwa kubwa mwishoe 1933 Hindenburg akaamua ampe cheo cha uChancellor hitler.Watu wakapata matumaini, furaha.. wakajua mkombozi kawafikia. Wakajua ujerumani yao inarudi kuwa kama awali.
Heheheee kama vile chizi kapewa rungu, Hitler alibadilika, akawa mbogo, akawa kama kinyamkera. akaipindua serikali, akawa supreme leader.
Alichowalipa wajerumani kila mtu anajua.Alichowafanya wayahudi-wajerumani kila mtu anajua.Dunia nzima haiwezi kulisahau jina la Hitler.Alichoizawadia dunia wala sihitaji kuelezea.
WORD neno sasa;
Kwenye mapenzi.Wakati ambao upo very desperate, umeshaumizwa, umefedheheshwa, umesulubika moyoni, umeteswa moyo, umejikatia tamaa, mapenzi yamekugonga, kila kitu hakitembei, huna amani, huna furaha.
Kipindi hiki unahitaji zaidi mwenza, wa uchumba au ndoa.Tena ni kile kipindi unahitaji zaidi mwenza akuvushe.Akurudishie furaha, mapenzi ya dhati.
Anatokea mtu, mpole sana, mkarimu sana, very lovely, anakuhubiria amani, furaha, upendo, care, mtu huyu atakufanyia kila kitu, atakupeti peti.
Huyu ni Mjerumani mwangalie vizuri, fikicha jicho mwangalie tena, pangusa miwani mwangalie zaidi, kaza macho,tena jicho kavu umtazamapo.Asije akawa Mjerumani Hitler utasaga meno, utajuta, utachinjwa kama wayahudi/jews.Hutoamini.
Kipindi ambacho upo desperate kuwa makini sana na mwenza anayejitokeza kuwa karibu, jipe muda kumsoma vizuri.
Usimkaribishe Mjerumani.
No generalization;
Big time wapendwa
Thread ndefu usiQuote