Natafuta mchumba baadae tuoane.

Natafuta mchumba baadae tuoane.

kdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2017
Posts
238
Reaction score
146
mdada mwenye umri usiozidi 23, mweupe au maji ya kunde n mostly wanted. Kama uko ready ni pm[emoji1]
 
mdada mwenye umri usiozidi 23, mweupe au maji ya kunde n mostly wanted. Kama uko ready ni pm[emoji1]
huchagui sifa wee unatka yeyote bora rangi na umri .. Vipi wewe unasifa gani ? jiwekee soko vizuri weka pich yako.Hapo utaonwa kwa haraka
 
Watu wanakuja na utani jf. Nahisi mtoa Mada ana miaka 20.kweli kunakuoana hapo... Ndoa zimekuwa fashion
 
Wewe ndio unaoa na kuwa mume au mnaoana na wote kuwa kichwa cha familia?
 
Jaribu bahati yako mkuu.
Bahati ipi mku. Mambo ya kwenda kufundishana jinsi ya kuishi nayataka Mimi. Maana utakuwa na kazi ya kumfundisha hata jinsi ya kutafuta hela.kuwa kichwa cha familia na mume ni kipaji asee
 
Kuandika tabu utaweza kuhudumia mwanamke ww


Mwenzio hapa nmeshaombwa hela ya gauni na malipo ya saluni kesho anaenda kwny sherehe


Mungu nifanyie wepesi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom