kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,815
Habarini wapendwa humu!!
Kila mtu ana mfumo wake kwenye ndoa yake hasa kwenye suala zima la kipato,
Kuna style hii sijui nyie mnaionaje, yaani mi mwanaume nakuwa na kazi yangu inayoniingizia kipato na mwanamke vivyo hivyo then mwisho wa mwezi tunakusanya vipato vyetu then mnapanga matumizi pamoja ila mimi mwanaume ndio msimamizi mkuu wa pesa za familia.
But mnakuwa open means mwanamke anajua kipato chako na wew unajua kipato chake.
Na pia hamna msamiati wa changu bali chetu, mwanamke anaheshimu hilo, so mwisho wa mwezi anafika na bajeti yake anayoitaka yeye kwa mwezi husika, hapa itajumuisha jikoni, mawasiliano yake, mambo ya urembo and vinginevyo ambavyo vipo kwenye wizara yake then nawe mwanaume unapitia kama kuna marekebisho yanafanywa then pesa inatolewa, na akiba inayowekwa inajulikana.
Vipi mfumo huu mnauonaje!!!