The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,002
- 19,462
Sijui wanawake na baadhi ya watu wanatoa wapi msingi wa kuwalaumu baba nyumba baada ya kuwatafuna beki tatu
Nimejaribu kupitia maandiko matakatifu nikaona baadhi ya watu maarufu walikula beki tatu na bado Mungu alipendezwa na hicho kitendo walichofanya.
Baba wa imani, Ibrahim alikula beki tatu wake na bado Mungu alimpongeza Ibrahim kwa kitu alichokifanya.
Maandiko yanaonyesha kua beki tatu ni sehemu ya marupu rupu ya ndoa(marriage incentives) kwa baba mwenye nyumba. Maandiko yanaenda mbali kabisa na kuonyesha kua beki tatu sio kumsaidia mama nyumba kazi za ndani peke yake, anatakiwa pia kumsaidia mama nyumba majukumu yake ya ndoa,rejea Ibrahim na sara.
Hivyo kina mama, baba ikitokea dharula akatafuna beki tatu huna haja ya kumlaumu, ni sehemu ya marupurupu yake.
NB. House boy haruhusiwi kula mama nyumba maana huo ni utovu wa nidham wa kiwango cha juu, house boy wote wanatakiwa kua kama Yusufu alivyokua kwa mke wa farao. Wakiwa hivyo baadae Mungu huwainua na kuwapa kazi kubwa.
Hii mada iko well referenced and researched, uibishie kwa hoja.