Wanawake huwa hawana kitu cha kusingizia zaidi ya magonjwa/ugonjwa

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,348
14,169
nimekaa nikajiuliza sana, tokea na kua hadi nimefikia umri huu nimekuwa nikikereka na tabia ya wanawake na kwa uchunguzi wangu naona wanawake wote huwa wanatabia ya kiburi lakini wengi wao huwa hawapendi kujionyesha kiburi chao zahiri, utakuta mwanamke kuna kazi kaagizwa labda na mume/mpenzi wake kwa bahati mbaya huyo mwanamke kashindwa kuifanya hiyo kazi na pengine huyo mwanaume yupo kazini, basi huyo mwanamke anasubiri muda unaokaribia wa jamaa kurudi, mwanamke huyu ataenda kitandani atajifunika mashuka mawili mawili na kujifanya anaumwa tokea mchana alikuwa anaumwa sana.
sedona1.jpg

hii tabia inakera kwakweli mimi najua kuwa binaadamu huwa tunachoka, na ninajua kuwa ata nyinyi wanawake ni binaadam tena huwa mnachoka sana, lakini iweje mshindwe kuwa wawazi tu kuwa ulichoka ndio maana hiyo shughuri ukashindwa kufanya...lakini inakuwa kinyume utajifanya unaumwa lakini kesho ukiamka unakuwa mzima kabisa kama vile akuna kitu kilichotokea jana yake...hiki ni kiburi na nitakuwa mchoyo wa fadhira kama nitashindwa kusema kuwa wanawake wote wakiburi cha kusingizia magonjwa.
 
Back
Top Bottom